Uchaguzi 2020 CCM imechokwa na Watanzania tuache utani kabisa

Ukiona mtu yeyote Leo anaitetea CCM basi jua huyo ni kula kulala, labda baba, mama, shangazi au mjomba anafanya kazi CCM na yeye ni kijana wa nyumbani. Hakuna mtu yeyote Tanzania hii Leo mwenye akili timamu asiyejua kuwa CCM ni ya Wazee kwa hiyo imechoka na haina mbinu mpya tena.
Takwimu zinasema mpaka sasa asilimia 90ya wananchi wapo nyuma ya Magufuli..nyie mliobaki asilimia 5 hamna impact..endeleeni kutapatapa..asilimia 5 iliyobaki hawapo popote..wao wanataka mazingira bora tu ya kilimo, pembejeo, bei nzuri za mazao, of which serikali hii ndio inatekeleza...sijui upo..! Umebaki kulialia kama mama mjamzito..hahahah
 
Vio
Wale wavaa milegezo , kula. kulala na wanaowekwa vinyumba na vibibi vizee tena vinavyoumwa Kama akina nyie ndio watakaoungaa Mkono juhudi za ujinga na za kudhulumu watu. Mkalipe kwanza korosho za wakulima masikini mnaowapiga danadana mwaka sasa. Majambazi wakubwa
Viongozi wenu walivyokuwa huko hamkuwa mnawatukana hivyo..eti wavaa mlegezo..wamehama ndio mnawaona hivyo..basi sawa..kesheni mkiomba..muone kama mtafanikiwa. Hata Mungu hawezi kukubali nchi hii irudi mikononi mwa mafisadi..huko tulishatika..ilikuwa kipindi cha mpito tuu jombaa...nimekushauri azisha hata kilimo tuu utatoka..biashara zenu za madili na ukwepaji kodi hazipo kamwe
 
Mkalipe kwanza korosho za watu mliowatia umasikini kwa upumbavu wenu huko mtwara ndiyo uje na upupu wako hapa, mmechukua korosho za watu tangu mwezi wa Saba mwaka Jana na mpaka sasa hamjawalipa, halafu bado mna mishipa ya kuja kuandika upuuzi hapa JF , hamna aibu, Mawakala wa Shetani Nyie.
Tukimaliza mambo ya korosho, mtaanzisha ajenda gani nyingine jombaa..hahahaha...kwa sababu mmezoea siasa za matukio..mmefilisika sera vichwani mwenu.. nikuulize jombaa wewe upo chama gani kwa sasa labda nitakusaidia..mawazo..kwa sababu UKAWA ilishakufa, chadema ndio inayoyoma viongozi wake wengi wamehama na wengine wanasubiri muda tu.., cuf ndio hiyo inatia huruma, ACT haijulikani ingawa sera yao wanasema ni ya ujamaa, sa sijui kwa sasa
 
Mkishamaliza la korosho, mturudishoe 1.5 Trilion mlyoiba Hazina. Hii jasho letu kodi zetu.
 
Chadema inapata ngapi hapo?
Mkuu Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa na sitarajii kuwa mwanachama wa chama chochote, Mimi ni Mtanzania mwenye Mapenzi makubwa Na nchi yangu.

Nina shauku ya kuona Nchi yangu ikipiga maendeleo ili watu waishi maisha mazuri Kama nchi nyingine zinazojitambua duniani. Lakini, hatuwezi kufanya maendeleo yoyote bila kwanza kuiondoa hii Cansa CCM
 
Mkuu Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa na sitarajii kuwa mwanachama wa chama chochote, Mimi ni Mtanzania mwenye Mapenzi makubwa Na nchi yangu. Nina shauku ya kuona Nchi yangu ikipiga maendeleo ili watu waishi maisha mazuri Kama nchi nyingine zinazojitambua duniani. Lakini, hatuwezi kufanya maendeleo yoyote bila kwanza kuiondoa hii Cansa CCM
Ok, nimekupata! Unafikiri ccm ikitoka, chama kipi kiongoze nchi?
 
Major
Una point sana, ila hebu tueleze ni chama kipi kiwe mbadala wa ccm?
Chama chochote kipewe, kwa sababu Nina imani chama kitakachochukua hii Nchi ni lazima kitakuwa kinajua kwamba kuna viongozi wengi wazuri tu ambao wapo CCM na Serikalini ambao wana uwezo mzuri, na watashirikiana nao kwa hiyo hakuna litakaloharibika. Mimi nawajua watu wengi sana wazuri Mfano, Waziri mkuu Majaliwa, Waziri Jafo, hata huyu Makamu wa Raisi Mama Samia, hawa ni Kati ya wengi ninaowajua. Ni lazima tuipange Nchi yetu upya, Wananchi wamechoka na Blablaa za Hawa CCM
 
Ok, nimekupata! Unafikiri ccm ikitoka, chama kipi kiongoze nchi?
Chama Chochote kipewe,tutajipanga mbele kwa mbele. Kinachoongoza Nchi ni Katiba na Wala siyo chama cha siasa Kama ambavyo huyu Shetani CCM Anajaribu kuwahadaa Watanzania,
 
Hiki Chama Sasa hivi Kimefika Mahala yaani ni Kama kimelewa au hakijitambui, au kinadharau Wananchi, Mimi hata sijui kinafanya nini. Utasikia kauli za hao walioko Wakisema Hadharani, Ati Raisi ametujengea Daraja au Raisi ametujengea Barabara, nani Kama Raisi!. Kinachojenga barabara na madaraja ni kodi za Wananchi, Raisi yeye ameajiriwa na Wananchi , Kauli Kama hizi ukiongea ktk Nchi za Wenzetu wanaojitambua mfano hata hapa Kenya tu, wewe utaonekana una matatizo kichwani, hata nafasi yako ya kazi unaweza kunyanganywa, South Africa unaweza kula Risasi ya kichwa. Lakini kwa Tanzania hawa Mawakala wa Shetani CCM utawasikia wakitamba wazi wazi Ktk Majukwaa, bila Aibu, it's so Pain!
 
Takwimu zinasema mpaka sasa asilimia 90ya wananchi wapo nyuma ya Magufuli..nyie mliobaki asilimia 5 hamna impact..endeleeni kutapatapa..asilimia 5 iliyobaki hawapo popote..wao wanataka mazingira bora tu ya kilimo, pembejeo, bei nzuri za mazao, of which serikali hii ndio inatekeleza...sijui upo..! Umebaki kulialia kama mama mjamzito..hahahah
Hizi ndiyo Akili zilizokufa, hivi wale watafiti wa Twaweza Walisema JPM ameshuka kukubalika kwa asilimia ngapi! Na huyo mwenye Taasisi ya Twaweza ile passport yake mlishamrudishia?, hivi ni nani Binadamu mwenye akili timamu anayeweza kuupenda huu utawala?, anyways, tuseme Magufuli anakubalika, sawa. Lakini CCM ilishakufa. Ndiyo maana Hata Magufuli mwenyewe anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha haimfii mikononi mwake. Lakini ni wazi kabisa kuwa Hata Magufuli Anajua CCM ni Mzigo na Inamuharibia sifa yake Nzuri aliyokwisha jiwekea tangu Akiwa Waziri wa Ujenzi
 
Mkishamaliza la korosho, mturudishoe 1.5 Trilion mlyoiba Hazina. Hii jasho letu kodi zetu.
Nashauri tungeanza kufuatilia yale mabilioni yaliyoliwa kwenye vyama vyetu vya upinzani..mbona hamna uchungu na mabilioni hayo..kwani si kodi zetu hayo mapesa ya ruzuku..? Tunayafumbia macho tunarukia sehem ambayo haina hata chembe ya ufisadi..sijui nani katuroga..tumegeuza vyama vyetu vingine kuwa SACCOS..hamsemi, vimekuwa vya kukopeshana magari, hamsemi..wajinga sana nyinyi..nasema wajinga, sio wapumbaf..ujinga si tusi unielewe jombaa
 
Hizi ndiyo Akili zilizokufa, hivi wale watafiti wa Twaweza Walisema JPM ameshuka kukubalika kwa asilimia ngapi! Na huyo mwenye Taasisi ya Twaweza ile passport yake mlishamrudishia?, hivi ni nani Binadamu mwenye akili timamu anayeweza kuupenda huu utawala?, anyways, tuseme Magufuli anakubalika, sawa. Lakini CCM ilishakufa. Ndiyo maana Hata Magufuli mwenyewe anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha haimfii mikononi mwake. Lakini ni wazi kabisa kuwa Hata Magufuli Anajua CCM ni Mzigo na Inamuharibia sifa yake Nzuri aliyokwisha jiwekea tangu Akiwa Waziri wa Ujenzi
Ccm ingekuwa inakufa unadhani viongozi wenu matata wangehamia ccm kwenda kumuunga mkono Magufuli..isingetokea..ungesema chadema inakufa sababu viongozi wengi wameihama ningekuelewa..au ume confuse jombaa..!! Narudia tena..asilimia 90ya watanzania wapo nyuma ya Magufuli..wewe na mmeo na watoto ndio labda mpo kwenye asilimia 10iliyobaki..hapo mnajiona kama mko weeeengi vile..eti eeh..!! Hahahah
 
Nashauri tungeanza kufuatilia yale mabilioni yaliyoliwa kwenye vyama vyetu vya upinzani..mbona hamna uchungu na mabilioni hayo..kwani si kodi zetu hayo mapesa ya ruzuku..? Tunayafumbia macho tunarukia sehem ambayo haina hata chembe ya ufisadi..sijui nani katuroga..tumegeuza vyama vyetu vingine kuwa SACCOS..hamsemi, vimekuwa vya kukopeshana magari, hamsemi..wajinga sana nyinyi..nasema wajinga, sio wapumbaf..ujinga si tusi unielewe jombaa
Unasikitisha sana wewe, yaani pesa ya Ruzuku USD 65,000 Unataka kufananisha na Upotevu wa 1.5 Trilion za Wananchi zilizopotea hazina, tena bora hata hawa gari limeonekana, Hii 1.5 Trilion hata manyoya tu hayajaonekana, halafu mnakuja hapa na mapambio ya kipuuzi ati Serikali Sikivu, mkiambiwa ukweli mnataka kuua watu kupiga watu risasi kutekana watu. Ila ole wenu, mwisho wenu ni mbaya kuliko mnavyofikiri.
 
Ccm ni ya OVYO NA DHAIFU SANAAAAAA
Na badoo...tunaitaka ccm iendelee kukaza uzi na kuendelea kutetea wanyonge wa nchi hii..na sio mafisadi..mmeshaishiwa na sera vichwani mwenu..haya matusi ndio mnayajua..ndio proffession yenu tunajua..basi sawa
 
Hujielewi wewe, sasa fisadi ni nani? Tangu Nchi hii iumbwe hakujawahi kutokea upotevu mkubwa wa pesa kiasi hiki cha 1.5 Trilion, na nyie mnaotetea huu wizi inaonekana ndiyo wanufaika wakuu, mtuondokee salama mtuachie Tanzania yetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom