CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

Ukombozi wa kumuondoa kijanai,
utafanikiwa kama kuna nia ya dhati, pasipo unafiki wala uroho wa madaraka kwa UKAWA
 
1.Kuporomoka kwa thamani ya shilingKi
2.ufisadi uliokithiri
3.kupitishwa kwa sheria zisizo na tija kwa wananchi
4.Hali ngumu ya maisha
5.kuagiza kila kitu kutoka nje
6.wimbi la vijana wanaomaliza shule ya msingi na sekondari wasiojua kusoma na kuandika
7.viwanda kufungwa
8.vingozi wa serikali kutajirika na kuhodhi maeneo makubwa kila kona ya nchi
9.wabunge kutokua na michango ya msingi bungeni, wanabaki kushukuru waume zao badala ya kuchangia mada za msingi
10.kupotea kwa uzalendo kwa watanzania wengi

CCM mmeweza kutunza amani tu, lakini kwa matatizo hayo hapo juu na mengine wanajf watakayoongezea ,amani hii itaenda kupotea muda si mrefu, natamani turewind mpka 1995 alafu nchi ipewe upinzani labda mambo yangekua tofauti, kila nkiwaza nchi ilipokua na 1995 na ilivo saivi ni sawa na kwenye mashindano ya magari tukashindana alafu tulivofika mwaka 95 tukaweka rivasi, kila sekta ina malalamiko, CCM ni chama changu lakini sidhani kama nipo radhi kupoteza miaka kumi mingine, watanzania tubadilike tusisubiri mpaka dola moja iwe elfu kumi ndo tufanye mabadiliko, tujaribu kufanya mabadiliko tuwape upinzani nchi tuone watafanya nini maana Ccm hawana jipya zaidi ya kututia hasira na mambo wanayofanya, I stand to be corrected, ila lets make a change in the political party and see where that gets us.
Nawasilisha kwa uchungu
 
Dah...umegonga mule mule..so SAD
 
Nduguyangu yaani ulikuwa haujaichoka tu? Sisi wengine tulishaizika sikunyingi
 
Ukweli ni mchungu.

Umbea ni mtamu.

Rais atatoka CCM na hii ni kutokana na wakuu(kuona kwamba bado wanawasikilizwa)

Wakuu weshampa Kila anachokihitaji na tayari kesha kuwa tishio kwa wagombea wengine.

Kwa upande wa wananchi na vyama pinzani.

Wengi ni wanafiki katika vyama vya upinzani hawana lolote manake weshanunuliwa.

Wananchi wamebaki kulalama wakidhani msaada utatoka ama CCM au UPINZANI

Bila kujua wote ni wasanii.

Freemason oyee

Na Shikamoo
 
freemason itamshinda Mungu alie hai??alieumba mbingu na dunia??
 
Ukweli ni mchungu.

Umbea ni mtamu.

Rais atatoka CCM na hii ni kutokana na wakuu(kuona kwamba bado wanawasikilizwa)

Wakuu weshampa Kila anachokihitaji na tayari kesha kuwa tishio kwa wagombea wengine.

Kwa upande wa wananchi na vyama pinzani.

Wengi ni wanafiki katika vyama vya upinzani hawana lolote manake weshanunuliwa.

Wananchi wamebaki kulalama wakidhani msaada utatoka ama CCM au UPINZANI

Bila kujua wote ni wasanii.

Freemason oyee

Na Shikamoo

Bora hata wewe unaipenda kidogo...mi siipendi hata kidogo
 
Kazi ipo nchi hii ni majanga,tutateseka sana,tutasema sana,tutalia sana,tutajilaumu sana,lkn mateso yatabaki palepale,hadi pale watu wote tutakapo amua kufunga mikanda viunoni na kufanya maamuzi magumu.
 
Jambo wakubwa!!!,, leo nimekumbuka kitabu cha zamani sana kwenye miaka ya 80s wakati ule watanzania tukipenda sana kusoma vitabu, kabla haya mafwesibuku yenu hayajatawala vichwa vyetu. Huyu mpiga filimbi wa Hamelin alikua na maajabu yake sana. Kote alikokua anapita huku akipuliza zumari lake au fillimbi, watu wengi waliacha kazi zao na kwenda nae sambamba kwenye minenguo yake... kwa wale wazee wenzangu namlinganisha Kinana wa CCM kama mpiga filimbi wa hamelin maana kila anapopita haijalishi wewe ni CDM au CCM utanengua mirindimo ya Zumari lake.... October ni kazi kwa watako jaaliwa!!! Asanteni kwa matusi yenu
 
Wanabodi,

Hizi sarakasi za bunge letu, zinaendelea. Wakina sisi, kuna mambo tuliyazungumzia zamani kuhusiana na kitu kinachoitwa kujipanga!. Kwenye uzi wangu wa CCM Imechokwa: CHADEMA Haijajipanga! nilisema hivi kuhusu Spika Mhe. Mama Makinda
 
aisee huu unabii wako pasco naona taratibu unatimia! hata kama hatupendi ndio hivyo
 
Kimawazo wamechoka,Kimtazamo wamechoka,Kiutendaji wamechoka,Kiushawishi wamechoka pia.Hakika Mtanzania mwaka huu tusifanye tena makosa kwa kuwarudisha hawa watu waitwao sisiem.UKAWA TUMAINI JIPYA LA WATANZANIA.
 
watanzania tusifanye makosa tena kukiweka chama cha mapinduzi madarakani kwa sababu zifuatazo; kwanza ccm kimekuwa KICHAKA CHA WEZI magufuri anazo sifa nzuri lakin anaenda kuzungukwa na wezi walio kubuhu hakika uongozi utamshinda pili ccm wakikaa pembeni watawasimamia ukawa watende kazi vizuri kwani chanel zote za wizi ccm wanazijua kwani wanazitumia kila siku kuiba rasilimali za wananchi hivyo hawatakuwa tayari kubaki kimya kuona na wenzao wanaiba kama wao. tatu ukawa watafanya kazi kwa tahadhali kubwa ili kujenga imani kwa wananchi hata washinde uchaguzi mwingine wa 2020 nne tutakuwa tumepoteza mwelekeo wa majambazi wa ccm na hata kama ccm itakuja rudi madarakan itakuwa ccm isiyo na vibaka mwisho tutakuwa tumevionya vyama vya siasa kuwa vinaposhindwa kuendesha nchi vizuri tunachagua chama kingine na sio kuwa watumwa wa chama kimoja. ccm ni tenga la samaki waliooza samaki mmoja mzima hawezi kitu nayeye ataoza tu.
 
Back
Top Bottom