Sio Mwanasiasa
Senior Member
- Mar 4, 2011
- 115
- 13
hii hoja yako humu haitozingatiwa kabisa..weng wetu humu ni mashabiki zaid''Sumaye alisema CCM inahitaji viongozi waadilifu, wachapakazi, na wasio waoga kumshauri rais juu ya masuala mbalimbali ili kuuwa na mabadiliko ya kiutendaji yanayoendana na joto la kisiasa lililopo.''
Nimesoma hoja ya mheshimiwa SUMAYE,NAMHESHIMU SANA TENA SANA.NINACHOTAKA KUSEMA HAPA NI HOJA YA MSINGI KWAMBA SUMAYE NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM AMABAYO KWA MUJIBU WA KATIBA YA CCM HALMASHAURI KUU NDIYO CHOMBA KIKUU CHENYE MAAMUZI JUU YA MUSTAKABALI WA KISIASA NA HATA UCHUMI KWENYE CHAMA TAWALA,ANAPOSEMA CCM WAJIBI HOJA YEYE ANAJITOA? ATWAMBIE KAMA YEYE NI CHADEMA AU CUF TUJUE MAPEMA. BILA SHAKA WATANZANIA WOTE WANAJUA KWAMABA UOZO WA MAADILI UMETOKEA KATIKA SERIKALI YA MKAPA NA SUMAYE ALIKUWA KIONGOZI MKUU WA SERIKALAI,NANI HAJUI MIKATABA YOTE MIBOVU ILIANZIA KWA SUMAYE NA MKAPA NA KWAMBA SERIKALI YA SASA INABEBA MAKOSA YAO?YEYE NA WENZAKE NDO WALIOINGIA MIKATABA YA KUUZA KILA KITU MPAKA NYUMBA ZA WATUMISHI NA LEO WANAISHI HOTEL ! UADILIFU WA SUMAYE UKO WAPI? ONDOA BORITI JICHONI KWAKO KABLA HUJAONA LA MWENZAKO.