Khaaaaaaa! Heri akae Kwa Shem akiwa na akili zake timamuWenzio wamechukua afu kumikumi hapo,wewe endelea kukaa kwa shemeji yako ukisema dharau
Aha ha ha ha wajinga ndiyo waliwaoWanavyoswagwa kwenye makenta kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani kuuzwa vile!!
Wakati mgeni rasmi anakuja na msafara wa ma V8 new model
View attachment 2753854
Umeshapata mume au nikutafutie zee moja la Dubai DP World?Chama hakina heshima kabisa hiki. Pichani nawaona Lucas mwashambwa, Pascal Mayalla, chawa wa mama/ ChawaWaMama, FaizaFoxy na THE BIG SHOW. johnthebaptist na thetallest wametumwa wakatafute kuni.
Jingalao anaimbisha nyimbo za kuwatukana marais waliotangulia
Aiseee!! Usikute hii account ni kweli ni ya bi tukiUmeshapata mume au nikutafutie zee moja la Dubai DP World?
Kweli lakini hao sio machizi ni watu wenye akili timamu na wanamajukumu ndio maana wakaona ni NgumU kutembea kwa mguu Bora wapande hilo zagaloMkuu hapo hata ajali ikitokea hiyo elfu kumi haitasaidia hata kununua sanda
Chama hakina heshima kabisa hiki. Pichani nawaona Lucas mwashambwa, Pascal Mayalla, chawa wa mama/ ChawaWaMama, FaizaFoxy na THE BIG SHOW. johnthebaptist na thetallest wametumwa wakatafute kuni.
jingalao anaimbisha nyimbo za kuwatukana marais waliotangulia
What is ten thousand?Wenzio wamechukua afu kumikumi hapo,wewe endelea kukaa kwa shemeji yako ukisema dharau
Haahaa ngumi za kwenye mshono haturuhusu utamuua mremboUmeshapata mume au nikutafutie zee moja la Dubai DP World?
Wivu tuWanavyoswagwa kwenye makenta kama ng'ombe wanaopelekwa mnadani kuuzwa vile!!
Wakati mgeni rasmi anakuja na msafara wa ma V8 new model
View attachment 2753854
Wivu tu.Chama hakina heshima kabisa hiki. Pichani nawaona Lucas mwashambwa, Pascal Mayalla, chawa wa mama/ ChawaWaMama, FaizaFoxy na THE BIG SHOW. johnthebaptist na thetallest wametumwa wakatafute kuni.
jingalao anaimbisha nyimbo za kuwatukana marais waliotangulia
Wa kubebwa kwenye gari la ng'ombe?Wivu tu.