FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,212
- 109,787
Mwenye IQ nzuri hawezi kutetea wezi,
Fuso mbili chakavu kwa millioni 600, mimi ningekuleteeni 20.
Nyumba ya hawara mabwepande, saccos!
Mbali ya zile za Dubai na London.
Mwenye IQ nzuri hawezi kutetea wezi,
Fuso mbili chakavu kwa millioni 600, mimi ningekuleteeni 20.
Nyumba ya hawara mabwepande, saccos!
Mbali ya zile za Dubai na London.
Labda uniambie unakisomo chakuogeshea fisiIQ test yangu ukiiona utashangaa, ndiyo iliyosema above average.
AlhamduliLlah, kwenye uko wetu hakuna zero.
Mkuu hao wanao pinga Chama pinzani wanayofanya ukijua unaweza lia na hasira ikakupata kubwa sanaAncient regime is about to get down.Najaribu kuchunguza soon ntakuja na feedbacks kwa wale wanaopinga chama pinzani wanakljishughulisha na nn mostly are u wealthy????,Are u living in Tanzania??. Au wazaz wenu wana vitengo ofisi za serikali za mitaa or mjumbe wa nyumba kumi am kind of stranded.
Mkuu hao wanao pinga Chama pinzani wanayofanya ukijua unaweza lia na hasira ikakupata kubwa sana
Sio upotoshaji. Kama ungefikiri kidogo ungegundua kuwa vitu vingi hadi raw materials zinatoka nje. Unaweza kuona thamani ya Sh.Kwa Dola leo? Ikifika January mwakani itakuwa sh.ngapi? Usikurupuke. CCM ni janga.
Tatizo jina lako linakuponza mfamaji hauishi kutapatapa sasa unaulumu CCM ndo imekwambia ubweteke wewe fanya kazi kwa bidii machungu ya dola kupanda na kushuka hayato kuumiza. Unalaumu Dola kupanda wakati unatumia TSH.
Tatizo kwangu sio CCM bali ni kushangaa kuona vijana bado mnajifanya wachambuzi wa Siasa na kukotoa mahesabu yasiyo wezakana. Tanzania nzima hakuna chama au mwanasiasa anaye weza kubadilisha maisha yako hata siku moja. Mfano; usipo pigana kufanya kufanya kazi kwa bidii leo hata hiyo USD ikishuka hadi 500 bado utaona ni janga kwako.....TafakariWacha kujibandika ubongo wa Fisi ccm ni janga kuu
Tatizo kwangu sio CCM bali ni kushangaa kuona vijana bado mnajifanya wachambuzi wa Siasa na kukotoa mahesabu yasiyo wezakana. Tanzania nzima hakuna chama au mwanasiasa anaye weza kubadilisha maisha yako hata siku moja. Mfano; usipo pigana kufanya kufanya kazi kwa bidii leo hata hiyo USD ikishuka hadi 500 bado utaona ni janga kwako.....Tafakari
Wakati mchelle sasa utapanda kutoka tsh.2000-3000 ,ndiyo yatakuwa maisha safi kwa kila Mtanzania,huku huduma bora na za msingi zikikosekana vijijini na kuwafanya watanzania wakimbilie mjini kujaribu bahati yao,
Wakifika mjini,watakutana na policcm wanaowakataza kufanya umachinga he heeeee! Ccm joka la mdimu
Huo ndiyo ujinga unaowafanya muendelee kuwa masikini na au muanze kufanya ujambazi na uharamia. Fikra zenu ni kuwa kila mwenye mali kaiba.
Huo ni ufubaa wa akili.
Jiulize hakuna matajiri ambao wako upinzani> Mtei, Mbowe, Ndesamburo?
Jee, hakuna matajiri amabo hawana chama cha siasa?
Wote hao wezi? au hao ni malaika na wezi wapo CCM tu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Budget nzuri itafanya watz waichukie ccm ili October tufahamiane vizuri