CCM dhaifu vs CHADEMA ma-opportunists | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM dhaifu vs CHADEMA ma-opportunists

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Mar 3, 2011.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mpaka sasa hili ndilo nililiong'amua kama ningeambiwa nani wakum-approve kuongoza Tanzania leo ningesema neither one!

  Kuna mengi CHADEMA wanayafanya leo bila kutambua wakiwa madarakani watafanyiwa the same... kwa watu wanaongalia mbali kuna mengi wasingefanya kama wanavyofanya leo... Lakini ndio hivyo tena tabia ya opportunist haangalii mbali sana.

  Bado namkumbuka Mh. Mkapa alivyofanya kampeni zake 1995 kwa kuhakikisha haahidi asali alafu a-delive maziwa... yeye alihakikisha hai-raise expectation sana... na eventually akawa winner... seen as over delivered, kumbe ni kwa sababu hakuahidi makuu... JK yeye ameahidi nchi ya ahadi na anadeliver kawaida... regardless what hawezi kumfurahisha yeyote sio kwa sababu kwamba kashindwa bali kwa kuwa ameahidi makuu, hili ndio kosa CHADEMA inalorudia na inalofanya leo.

  Muigeni Mkapa... think BIG, think STRATEGIC... na angalieni mbali msijione kama chama pinzani wakati wote... wakati mwingine jioneni kama chama tawala... otherwise itakula kwenu big time!
   
 2. Kitila Mkumbo

  Kitila Mkumbo Verified User

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 25, 2006
  Messages: 3,347
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  How do you justify this rather loaded statement Bwana Kasheshe?
   
 3. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mh. Sana Dr. Kitila Mkumbo, fanyieni kazi maoni yangu... tatizo lenu mumeanza kuwa kama wanasiasa wetu wa siku zote... ati ukibandikwa lebo "Mbunge au Waziri" wewe immediately ndio unakuwa unajua kuliko wote.... umeona juzi kamati ya bunge ya nishati ndani ya wiki mbili kama sio moja wametoa mapendekezo 30... yes... wakimaanishi TANESCO na Wizara they never thought about any of those alternatives but only themselves... na vyombo vyetu vya habari vinareport kuonyesha jamaa ndio ma-genius they have solutions.... and TANESCO didn't have.

  Sasa na nyinyi endeleeni na hako kagonjwa pia..... Mungu Awabariki sana.
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Kasheshe,

  ..tatizo ni kwamba JK hana uwezo wa kuongoza.

  ..kwa katiba yetu ya sasa hivi, the country succeeds or fails kulingana na uwezo wa Raisi aliyepo madarakani.

  ..hivi huu ndiyo utendaji wa mtu aliyejiandaa miaka zaidi ya 10 kuwa Raisi wa Tanzania??

  ..je, angechukua nchi wakati ina matatizo kama alivyoikuta Alhaj Mwinyi, au Mzee Mkapa, mnategemea tungekuwa na hali gani sasa hivi?

  ..tatizo lingine ni kwamba JK ameanza "kula" wakati wa awamu yake ya kwanza. waliomtangulia walichapa kazi ktk awamu zao za kwanza na kuanza ulaji wakati wanaelekea kustaafu.

  ..JK amechukua nchi wakati tuna akiba ya fedha ktk hazina yetu, tuna mahusiano mazuri na vyombo vya fedha, mashirika ya kimataifa na jumuiya za wafadhili, pia nchi ikiwa ikiwa na vivutio vingi kwa wawekezaji, bila kusahahu maliasili tulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu. there was a perfect opportunity kwa JK kufanya vizuri, if not wonders, kuliko maraisi wote waliomtangulia.

  ..binafsi naamini yote aliyoahidi JK yanatekelezeka, tatizo ni kwamba hayuko makini ktk kutekeleza ahadi zake. mazingira hayo ndiyo yanayotoa nafasi kwa Chadema kumuandamana kila kukicha. wa-Tanzania wa sasa hivi wamebadilika mno. hawaridhiki tena na ahadi nzuri nzuri za wanasiasa. wa-Tanzania sasa wanataka MATOKEO .
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  imbombo jilipo.
   
 6. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Niko na wewe Jokakuu kiakili na kiroho!!! :)
   
 7. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  I'm not confinced kwamba kila mkosoaji mzuri ni mtendaji mzuri... read between lines guys.

  Kuna mengine yatang'amuliwa na wale walio kataa kuvaa miwani ya Kijana au ya bluu tu... depending miwani gani umevaa ndivyo utakavyoiona Tanzania! And I can assure you none will be wrong in his/her perspective b'se everything depend anatoa msimamo akiwa amevaa miwani gani?

  Best Wishes... Wana JF.
   
 8. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nchi inajiendesha yenyewe hii, wakiikamata CDM hawatakuwa na kazi kubwa ya kufanya. Only kujitenga na mafisadi, kumtupa ndani Rostam Azizi kwa kifungo kirefu, bomoa takukuru, tra na bot. Kwisha habari baada ya mwezi tu asali na maziwa vinaanza kimiminika hapa nchini. Ni suala tu la Mkwere kukubali kuwa safari hii hakuchaguliwa na watanzania. Kama kweli alichaguliwa na Watanzania ni nani aliyempa kura katika umati ule wa watu unaofurika mikutano ya CDM na wote wanasema walipiga kura na hawakumpa mkwere. Nina wasiwasi kuna mamilioni ya kura za watanzania yaliharibiwa ndio maana tunaambiwa wachache walijitokeza.
   
 9. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  You are absolutely right ... but this is b'se umevaa mawani ya bluu.... and it is so easy and it is actually looking like that!!! To you to run a country is only about protecting the little we have... ahahahahahah.... I'm telling CHADEMA kuja kuwabadilisha hawa waheshimiwa baada ya kushika madaraka cha moto mtakiona... kwa kuwa it is true asali haitakushuka kirahisi kiasi hicho!

  Please CHADEMA manage your people's expectations!!!
   
 10. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 848
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mkuu Kasheshe, nakuwa sikuelewi unapommwagia misifa kibao BM, binafsi simfagilii na si kwa sababu ya chuki binafsi, bali kwa makosa mengi aliyoyafanya hasa kwenye PRIVATISATION ya mashirika ya umma! Mengi kama si yote (I stand to be corrected) ya mashirika yamekufa au hayafanyi kazi, kwa maana hiyo kuna idadi kubwa ya waliokuwa wafanyakazi, hawana kazi kwa sasa na kibaya zaidi wengine hata mafao/pensheni. Haya yote yalifanywa na BM akiwa na sera yake ya UWEKEZAJI!
   
 11. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ukivua mawani utanielewa... niliongelea kwenye element ya "ku-MANAGE EXPECTATIONS". the rest you are again absolutely right.
   
 12. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata yeye huyu Kasheshe ni Optunist ndio maana anaongea kwa Lugha kama za Mkapa so hakuna jipya juu ya huyu jamaa
   
 13. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Josh nimekupenda bure...:blah:
   
 14. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Kasheshe,

  Hapo kwenye nyekundu maneno mazito sana.
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Lakini mkuu aren't all political parties opportunists? Utaingiaje madarakani bila kuwa opportunist? Just asking...

  Lakini mengine yote uliyo sema yana mshiko. Kwenye siasa you chose the best of the available options. Kwako wewe which one is the best available option?
   
 17. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dr hivi na elimu yako una amini mgombea urais anasema cement itakua Tsh 5000? Hii ndio moja ya hoja Bwana Kasheshe!
   
 18. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tuko ndani ya Bajaji Moja mkuu!!!
   
 19. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,854
  Likes Received: 4,523
  Trophy Points: 280

  Cement kua 5000 inawezekana asilimia 500! Hivi unajua raw material kubwa (clinker) ya kutengenezea portland cement inatoka nje? We could shift to pozzolana cement ambayo raw material yake inapatikana tele maeneo ya Mbeya. Then kwa namna hiyo production costs zitapungua sana,na bei ya 5000 itawezekana (pia kwa serikali kupunguza kodi kwny uzalishaji wa cement).

  Amandlah.
   
 20. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ndugu!!! Yako mengi sana tena sana ya kuonyesha unaweza kufanya na Tanzania ikaendelea lakini sio kulaghai Wananchi... Trust Me Wandamanaji wengi wana tafsiri tofauti na viongozi wao... fanya uchunguzi utaona.

  Katika kampeni zote za Uchaguzi za Mwaka Jana kwa mfano!!! Wagombea wote including Huyo Malaika wenu Dr. Slaa walikuwa wanaongelea namna ya kutumia kidogo kilichopo na sio namna ya kutafuta au kumfanya Mtanzania aweze kulipia shule ya mtoto wake mwenyewe, ajenge nyumba yake mwenyewe, alipie afya yake mwenyewe.
  In short ahadi nyingi zilikuwa za namna ya kumpa ndugu yako samaki na sio nyavu ya kuvulia au ndoana akavue mwenyewe samaki kwa idadi/kiasi atakachoweza....
  Naomba Mungu anipe uwahi nione wanasiasa wengine au chama kingine lakini sio hivi ninavyovifahamu.....
   
Loading...