CCM dhaifu vs CHADEMA ma-opportunists

? We could shift to pozzolana cement ambayo raw material yake inapatikana tele maeneo ya Mbeya.

Halafu serikali itataifisha viwanda na kurudi kwenye sera za ujamaa ili tupange bei za bidhaa badala ya kuachia soko...unh it sound suspicious kwa sababu CDM ni Mabepari!!! oooh why are we even discuss this, there is no point because wenye nchi didnt buy this bullshit
 
Cement kua 5000 inawezekana asilimia 500! Hivi unajua raw material kubwa (clinker) ya kutengenezea portland cement inatoka nje? We could shift to pozzolana cement ambayo raw material yake inapatikana tele maeneo ya Mbeya. Then kwa namna hiyo production costs zitapungua sana,na bei ya 5000 itawezekana (pia kwa serikali kupunguza kodi kwny uzalishaji wa cement).

Amandlah.

As I said kwa mawani ulivaa mzee you are absolutely right!!!

Kwa nini? Kwa sababu mawani yako inakuonyesha kwamba Serikali itakuwa na control ya raw materials, machinery and spare parts,forex, distribution and retail network.....

Sincerely I wish I could have that spectacles maana ningeona maisha kwenye mwanga bora though maisha ya ukweli ni kwenye mwanga hafifu..... laaahaulaaaa....
 
Tatizo langu ni maneno uliyoyatumia-ni mazito sana kuyatumia kwa chama cha siasa. Neno opportunist (someone who tries to get power or an advantage in every situation) ni neno hasi, lenye kumaanisha mtu mchoyo choyo na mbinafsi anayeangalia maslahi yake na ambaye hajali wenzake. Lipo karibu sana na neno 'narcissist'.

Sasa ndio najiuliza CHADEMA wamefanya kosa gani hadi wapewe label ya namna hii. Kazi za chama cha upinzani duniani kote zinajulikana, nazo ni: i) kuonyesha udhaifu wa serikali iliyopo madarakani katika kujijengea uhalali wa kuchaguliwa unapofika wakati wa uchaguzi. ii) kutoa falsafa na sera mbadala za katika kutatua matatizo yaliyopo na dira ya kuipaisha zaidi nchi kimaendeleo. iii) Kuonyesha kwa vitendo kupitia wawakilishi wao kwamba wao ni bora zaidi kuliko wale waliopo madarakani.

CHADEMA wameyafanya yote hayo kwa kiwango kikubwa na cha kuridhisha. Tatizo ninaloliona ni kwamba watu wanaoikosoa CHADEMA katika mbinu zake, akiwemo Rais wetu, ni watu ambao hawajui kazi ya vyama vya upinzani kwa sababu hawajawahi kufikiria kuwa chama cha upinzani. Ndio maana vyama vyote vikongwe viliposhindwa kwenye uchaguzi vilijifia kwa sababu nguzo yao pekee ilikuwa ni dola na sio watu. Ndivyo ilivyotokea kwa KANU, UNIP, Malawi Congress Party na ndivyo itakavyotokea kwa CCM. Siku CCM ikishindwa uchaguzi itakufa ndani ya miezi kwa sababu kinashikiliwa na dola pekee.

Don't misunderstand us. Hakuna mtu anayesema kwamba CHADEMA ni perfect. We are not and that is why we are working very hard to be. For example, one area that we will need to improve soon is the question of balancing militarism and activism vs idealism. At the moment, understandably, there seems to be too much militarism and activism and too little or empty idealism. This is dangerous because militarism and activism have a tendency to fade way so easily because they tend to be associated with personality cults, which they are not sustainable. But then who wants to listen to idealism under the current circumstances in this country? Idealism works optimally only where basic life conditions exist. It cannot exist where people cannot even afford a day's meal, where basic services that make people think and intellectualize are almost non existent. In these circumstances, CHADEMA have to be pragmatic and the route they have chosen to pursue is understandably befitting our current social-political-economic circumstances. It is therefore utterly wrong and ill-thought to label them 'opportunists'.
 
Mh. Sana Dr. Kitila Mkumbo, fanyieni kazi maoni yangu... tatizo lenu mumeanza kuwa kama wanasiasa wetu wa siku zote... ati ukibandikwa lebo "Mbunge au Waziri" wewe immediately ndio unakuwa unajua kuliko wote.... umeona juzi kamati ya bunge ya nishati ndani ya wiki mbili kama sio moja wametoa mapendekezo 30... yes... wakimaanishi TANESCO na Wizara they never thought about any of those alternatives but only themselves... na vyombo vyetu vya habari vinareport kuonyesha jamaa ndio ma-genius they have solutions.... and TANESCO didn't have.

Sasa na nyinyi endeleeni na hako kagonjwa pia..... Mungu Awabariki sana.

Sasa mkuu. Hapo link inakujaje? Hiyo kamati ni ya CHADEMA kwani? Kwa mfano wako,CHADEMA wanakuaje ka wanasiasa wetu? Ndo mana Kitila hajakuelewa? Umetoa a very vague example!
 
As I said kwa mawani ulivaa mzee you are absolutely right!!!

Kwa nini? Kwa sababu mawani yako inakuonyesha kwamba Serikali itakuwa na control ya raw materials, machinery and spare parts,forex, distribution and retail network.....

Sincerely I wish I could have that spectacles maana ningeona maisha kwenye mwanga bora though maisha ya ukweli ni kwenye mwanga hafifu..... laaahaulaaaa....

Mazee nawe pia umevaa miwani tofauti,so hatuwezi kua na vision 1! Kama raw materials zinapatikana hapa nyumbani kwanini bei hisipungue? Cha msingi ni serikali husika kuweka misingi imara ya kuhakikisha hiyo pozzolana ya Mbeya ina fully utilised! Mzee raw material ni factor kubwa sana ya kudetermine price of a commodity. So the easier to get the material and at lower prices,the lower the price of a commodity. Hiyo ni simple economic application!
Tatizo unabisha without reasoning and arguments!
Amandla.
 
Sasa mkuu. Hapo link inakujaje? Hiyo kamati ni ya CHADEMA kwani? Kwa mfano wako,CHADEMA wanakuaje ka wanasiasa wetu? Ndo mana Kitila hajakuelewa? Umetoa a very vague example!

Wakati naandika sikutegemea kueleweka na wote!!! Kwa kuwa nilijua wako wenye mawani za rangi fulani fulani hivi na wapo wale ambao hawana...

So, again you are absolutely right!
 
Don't misunderstand us. Hakuna mtu anayesema kwamba CHADEMA ni perfect. We are not and that is why we are working very hard to be. For example, one area that we will need to improve soon is the question of balancing militarism and activism vs idealism. At the moment, understandably, there seems to be too much militarism and activism and too little or empty idealism. This is dangerous because militarism and activism have a tendency to fade way so easily because they tend to be associated with personality cults, which they are not sustainable. But then who wants to listen to idealism under the current circumstances in this country? Idealism works optimally only where basic life conditions exist. It cannot exist where people cannot even afford a day's meal, where basic services that make people think and intellectualize are almost non existent. In these circumstances, CHADEMA have to be pragmatic and the route they have chosen to pursue is understandably befitting our current social-political-economic circumstances. It is therefore utterly wrong and ill-thought to label them 'opportunists'.

Mwalimu Kitila Mkumbo,

Heshima Mbele!!!
Now you understand why I said what I said!!!

"Huhitaji kufanya/sema yale tu watu wanaotaka kusikia, Bali sema/fanya yale ambayo yanastahili kusemwa/kufanywa kuokoa nchi yako...", Kasheshe @ JF.

By the way you are taking us wananchi for granted!!!! Hayeni, bwana kuna siku wata-connect the dot... na muda huo sio mrefu....

Rais aliyeko madarakani hicho ndicho kinachom-cost na nasema na nyinyi hamjajifunza.... this is your wake up call. (I'm glad you know) bali tu hamuwaelezi wale vijana wanaoacha shughulizi zao na kuwapigia makofi! mnatengeza a big opposition camp once mko madarakani kama hamtajirekebisha.

Anyway let me refer you to this book.... "Lincolin on Leadership" by Donald T. Phillips. In case kama hujaki-soma.
 
Wakati naandika sikutegemea kueleweka na wote!!! Kwa kuwa nilijua wako wenyewe mawani ya rangi fulani fulani hivi na wapo wale ambao hawana...

So, again you are absolutely right!

Then hakuna maana ya kuandika ulivyoviandika kwny forum kama hizi za kijamii. Mwandishi/mtoa ujumbe mzuri ni yule ambaye wasomaji/wasikilizaji wake wataelewa kwa wepesi kile alichokiandika/alichokizungumza. Hivyo kutoeleweka kwako ni dalili ya kua umeshindwa kufikisha ujumbe uliokusudia!
 
Under same principle nimekuelewa na kukubali!
 
Ndugu!!! Yako mengi sana tena sana ya kuonyesha unaweza kufanya na Tanzania ikaendelea lakini sio kulaghai Wananchi... Trust Me Wandamanaji wengi wana tafsiri tofauti na viongozi wao... fanya uchunguzi utaona.

Katika kampeni zote za Uchaguzi za Mwaka Jana kwa mfano!!! Wagombea wote including Huyo Malaika wenu Dr. Slaa walikuwa wanaongelea namna ya kutumia kidogo kilichopo na sio namna ya kutafuta au kumfanya Mtanzania aweze kulipia shule ya mtoto wake mwenyewe, ajenge nyumba yake mwenyewe, alipie afya yake mwenyewe.
In short ahadi nyingi zilikuwa za namna ya kumpa ndugu yako samaki na sio nyavu ya kuvulia au ndoana akavue mwenyewe samaki kwa idadi/kiasi atakachoweza....
Naomba Mungu anipe uwahi nione wanasiasa wengine au chama kingine lakini sio hivi ninavyovifahamu.....

Ni kweli kabisa Kasheshe! kama ulivyosema tuko katika bajaj moja! Big up yourself!!!!!!!
 
Halafu serikali itataifisha viwanda na kurudi kwenye sera za ujamaa ili tupange bei za bidhaa badala ya kuachia soko...unh it sound suspicious kwa sababu CDM ni Mabepari!!! oooh why are we even discuss this, there is no point because wenye nchi didnt buy this bullshit

Kutaifisha kutaingiaje mkuu? Hapo ni suala la upatikanaji wa hayo material hapa hapa TZ. So viwanda vitafuata tu yalipo kama wanavyoimport sasa. Ila serikali kwa kuweka mazingira thabiti ya uhakika wa kupata hiyo pozzolana,then wenye viwanda wataneemeka kwa kupunguza gharama za uendeshaji. Na pozzolana cement ni imara kuliko portland cement.
 
Tatizo langu ni maneno uliyoyatumia-ni mazito sana kuyatumia kwa chama cha siasa. Neno opportunist (someone who tries to get power or an advantage in every situation) ni neno hasi, lenye kumaanisha mtu mchoyo choyo na mbinafsi anayeangalia maslahi yake na ambaye hajali wenzake. Lipo karibu sana na neno 'narcissist'.

Sasa ndio najiuliza CHADEMA wamefanya kosa gani hadi wapewe label ya namna hii. Kazi za chama cha upinzani duniani kote zinajulikana, nazo ni: i) kuonyesha udhaifu wa serikali iliyopo madarakani katika kujijengea uhalali wa kuchaguliwa unapofika wakati wa uchaguzi. ii) kutoa falsafa na sera mbadala za katika kutatua matatizo yaliyopo na dira ya kuipaisha zaidi nchi kimaendeleo. iii) Kuonyesha kwa vitendo kupitia wawakilishi wao kwamba wao ni bora zaidi kuliko wale waliopo madarakani.

CHADEMA wameyafanya yote hayo kwa kiwango kikubwa na cha kuridhisha. Tatizo ninaloliona ni kwamba watu wanaoikosoa CHADEMA katika mbinu zake, akiwemo Rais wetu, ni watu ambao hawajui kazi ya vyama vya upinzani kwa sababu hawajawahi kufikiria kuwa chama cha upinzani. Ndio maana vyama vyote vikongwe viliposhindwa kwenye uchaguzi vilijifia kwa sababu nguzo yao pekee ilikuwa ni dola na sio watu. Ndivyo ilivyotokea kwa KANU, UNIP, Malawi Congress Party na ndivyo itakavyotokea kwa CCM. Siku CCM ikishindwa uchaguzi itakufa ndani ya miezi kwa sababu kinashikiliwa na dola pekee.

Don't misunderstand us. Hakuna mtu anayesema kwamba CHADEMA ni perfect. We are not and that is why we are working very hard to be. For example, one area that we will need to improve soon is the question of balancing militarism and activism vs idealism. At the moment, understandably, there seems to be too much militarism and activism and too little or empty idealism. This is dangerous because militarism and activism have a tendency to fade way so easily because they tend to be associated with personality cults, which they are not sustainable. But then who wants to listen to idealism under the current circumstances in this country? Idealism works optimally only where basic life conditions exist. It cannot exist where people cannot even afford a day's meal, where basic services that make people think and intellectualize are almost non existent. In these circumstances, CHADEMA have to be pragmatic and the route they have chosen to pursue is understandably befitting our current social-political-economic circumstances. It is therefore utterly wrong and ill-thought to label them 'opportunists'.

salute dr. Its clear and only a ccm cadre will not understand it
 
I'm not confinced kwamba kila mkosoaji mzuri ni mtendaji mzuri... read between lines guys.

Kuna mengine yatang'amuliwa na wale walio kataa kuvaa miwani ya Kijana au ya bluu tu... depending miwani gani umevaa ndivyo utakavyoiona Tanzania! And I can assure you none will be wrong in his/her perspective b'se everything depend anatoa msimamo akiwa amevaa miwani gani?

Best Wishes... Wana JF.

Heshima kwako Kasheshe,

Hapo kwenye nyekundu maneno mazito sana.

Did you meant kumwambia maana ya neno "CONFINCED" ni zito sana kwani katika mizani ya English halipimiki kwa kuwa scale yako bado haijapatikana mpaka pale litakapothibitishwa kuwa ni neno sahihi?

Ukweli utabaki palepale kuwa Chama chochote cha siasa ni lazima kijiimarishe kwa wananchi, wanachofanya CDM si kuongea tu bali wanaguza hali halisi ya wananchi wengi, na hiyo ndiyo siasa. Kama wananchi watawachagua na kuona hawafanyi waliyokuwa wanayasema ni haki ya chama kingine kuandamana kuwafahamisha wananchi na baada ya miaka mitano watatupwa nje hiyo ndiyo demokrasia.
 
Kutaifisha kutaingiaje mkuu? Hapo ni suala la upatikanaji wa hayo material hapa hapa TZ. So viwanda vitafuata tu yalipo kama wanavyoimport sasa. Ila serikali kwa kuweka mazingira thabiti ya uhakika wa kupata hiyo pozzolana,then wenye viwanda wataneemeka kwa kupunguza gharama za uendeshaji. Na pozzolana cement ni imara kuliko portland cement.

Na maanisha kinachopandisha bei si raw materials tu, ingekuwa hivyo vitenge vya TZ vingekuwa bei chee kuliko vya India. kwa maana hiyo mtu akitaka kushawishi kuwa atashusha bei za bidhaa ni lazima pia atuambie kama atachukua na viwanda.
 
Kasheshe kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe. Chadema badala ya kurelax kutokana na sapoti kubwa wanayoipata sasa inabidi wazidi kuumiza vichwa kwa ajili ya mustakabali wa umaarufu wao huko mbeleni. Dr. Kitila amekasirika kwa Chadema kuitwa "Opportunists" lakini ni ukweli usiopingika kuwa wame-gain nguvu zaidi baada ya CCM na uongzi wake a sasa ku-prove failure..

Kuwa Opportunist siyo dhambi Dr. Kitila, na wala siyo tusi iwapo mtu atakuita hivyo. Cha muhimu ni kuhakikisha Opportunity mliyoipata mnaitengenezea mazingira ya kutokuwaponyoka as the matter of fact kuna wenzenu wengi tu wa upinzani ambao nao wanaiwania, mbaya zaidi kwa Chadema ni kuwa hivyo vyama vimetoa macho kutumia Opportunity yeyote itakayotengenezwa na mmoja kati ya CHADEMA au CCM ambao kwa sasa ndiyo miamba kwenye siasa za sasa.
 
Kasheshe,

Contrary to your belief I'm not a Chadema supporter or even a fan of Dr. Slaa. La hasha! Ila ukweli ni kwamba madai ya Chadema yana mshiko. Whether Chadema wana take advantage of the situation or not is not an issue. Cha kujiuliza ni je hayo madai ya Chadema kama Dowans, bei ya vitu etc havina ukweli? Je hao watu wanao andamana ni kwamba wanaandamana tu ili mradi au ni kweli hali ya maisha ni mgumu kwako?

Sihitaji kuwa mshabiki wa Chadema kusupport baadhi ya mambo wanayo pigania (iwe kwa nia ya kweli au siasa tu) na ninge kusupport hata wewe Kasheshe kama unge panda jukwaani na kuvi pigia kelele. Tatizo sasa hivi Tanzania tume kuwa one sided sana. Kwamba ime fika mahala mtu anaona upande wake hata ufanye nini wako sahihi na upande mwingine hata wafanye nini basi wana makosa.

Mimi humu ndani nime kisema sana Chadema pamoja na Dr. Slaa ila haimaanishi nita wapinga katika kila kitu. Hata Kikwete na CCM wakifanya cha maana nita wasupport.
 
:usa2:
Kasheshe kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe. Chadema badala ya kurelax kutokana na sapoti kubwa wanayoipata sasa inabidi wazidi kuumiza vichwa kwa ajili ya mustakabali wa umaarufu wao huko mbeleni. Dr. Kitila amekasirika kwa Chadema kuitwa "Opportunists" lakini ni ukweli usiopingika kuwa wame-gain nguvu zaidi baada ya CCM na uongzi wake a sasa ku-prove failure..

Kuwa Opportunist siyo dhambi Dr. Kitila, na wala siyo tusi iwapo mtu atakuita hivyo. Cha muhimu ni kuhakikisha Opportunity mliyoipata mnaitengenezea mazingira ya kutokuwaponyoka as the matter of fact kuna wenzenu wengi tu wa upinzani ambao nao wanaiwania, mbaya zaidi kwa Chadema ni kuwa hivyo vyama vimetoa macho kutumia Opportunity yeyote itakayotengenezwa na mmoja kati ya CHADEMA au CCM ambao kwa sasa ndiyo miamba kwenye siasa za sasa.
They dont have a plan,they are too loud!
 
Bwana Kasheshe jaribu kutofautisha siasa na harakati. Chadema wanachofanya mie nakiona kama harakati za kiukombozi na sio siasa kama wengi tunavyoamini.
 
Mpaka sasa hili ndilo nililiong'amua kama ningeambiwa nani wakum-approve kuongoza Tanzania leo ningesema neither one!

Kuna mengi CHADEMA wanayafanya leo bila kutambua wakiwa madarakani watafanyiwa the same... kwa watu wanaongalia mbali kuna mengi wasingefanya kama wanavyofanya leo... Lakini ndio hivyo tena tabia ya opportunist haangalii mbali sana.

Bado namkumbuka Mh. Mkapa alivyofanya kampeni zake 1995 kwa kuhakikisha haahidi asali alafu a-delive maziwa... yeye alihakikisha hai-raise expectation sana... na eventually akawa winner... seen as over delivered, kumbe ni kwa sababu hakuahidi makuu... JK yeye ameahidi nchi ya ahadi na anadeliver kawaida... regardless what hawezi kumfurahisha yeyote sio kwa sababu kwamba kashindwa bali kwa kuwa ameahidi makuu, hili ndio kosa CHADEMA inalorudia na inalofanya leo.

Muigeni Mkapa... think BIG, think STRATEGIC... na angalieni mbali msijione kama chama pinzani wakati wote... wakati mwingine jioneni kama chama tawala... otherwise itakula kwenu big time!

Kama ni hivyo unavyo fikiri ni sawa. maana kutesa kwa zamu hivyo hivyo kuteseka, ni kwa zamu pia mwanaa.

ccm imesha tesa miaka 50 waachie wenzao nao watese tatizo nini hasara roho!
 
Back
Top Bottom