CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

CCM Miaka 45 wenyeviti 4,chadema miaka 28 wenyeviti 3 huoni ccm ndiyo wanakanyaga demokrasia?
 
Una tumbo la kuhara, Ahsante umesikia harufu ya uharo wako.
 
ill tell you what man. vitisho havisaidi. ndio sababu inayoleta mipasuko kwenye jaamii.
you na makundi mengine mnao jiona kuwa mna right za hii nchi can go to hell.. f
 
Nani kakuambia kuwa hatuna amani na umoja?
  • Hoja ya mwenyekiti wa CDM kuishi madarakani mbn hamuisemi (CDM mna muungu mtu?)
  • Hoja ya mwenyekiti wa NCCR kuhodhi madaraka mbn hamuisemi - hakuna mwenye sifa zaidi yake?
  • Hoja ya mwenyekiti wa CUF kudumu mbn hamuijibu?
  • Hoja ya ACT kumwinua membe bila vikao mbn hamuisemi?

Nawaambia kwa kuwa hamtaki ku-practice demokrasia ndani ya vyama vyenu CCM tunawafundisha. Mkikataa mafunzo Ofisi zenu zinakuwa mabanda ya kufugia kuku.
 
ill tell you what man. vitisho havisaidi. ndio sababu inayoleta mipasuko kwenye jaamii.
you na makundi mengine mnao jiona kuwa mna right za hii nchi can go to hell.. f
Sahau - nchi iko imara na hakuna muda wa kuwachekea tena
 
Aina hii ya kufikiri imepitwa na wakati. R.I.P Magufuli
 
Unavojishaua as if una uwezo hata wa kuendesha mtaa achilia mbali familia yako... Mama Samia si mtu wa mapambio na misifa... Pole
 
Unavojishaua as if una uwezo hata wa kuendesha mtaa achilia mbali familia yako... Mama Samia si mtu wa mapambio na misifa... Pole
 
Makada wa ccm sio wabunifu wengi vilaza wanawaaminisha viongozi wao kuwa adui number mmoja ni chadema hivyo wanaanza kuporomosha matusi na kejeri na wengine kuteka kuumiza ili wapate vyeo,mambo yamsingi hawana uwezo wa kuyakabiri,kiongozi mpuuzi anaingiza upepo na kuwa teua hao vilaza matokeo yake mabaraza na vikao inakuwa kama shule ya chekechea hanna watu wa kutoa pointi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…