CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

Chadema ni wauwaji na wanyonya damu za watz

Ushuzi umekubana ww... Syo cdm 2nayoijua ikose mgombea tena A twn..magamba ndyo yanahaha kutafuta wagombea coz kila mtu anaogopa kusimama kugombea na cdm
 
Habari tulizozipata kwenye intelejensia yetu kutoka ndani ya chama cha mapinduzi ni kwamba wamekata tamaa kabisa baada ya kutafuta mgombea udiwani wa kata ya sombetini na kukosa ndipo wameamua kumfuatilia kijana mmoja kwa jina anaitwa david lesikari mollel ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chadema lkn tulifukuza uhanachama baada ya kugundua ni mamluki.


Harakati za udiwani zimeanza jijini arusha ambapo nasikia muda wowote tutatangaziwa lkn wenzetu wao tayari wameanza kutafuta wagombea na kufungua matawi kwa fujo na mbwe mbwe.nitaendelea kuwapa taharifa zaidi.
Naomba kuwasilisha

.........
Mgombea ni mimi hapa Acha uongo wewe...... unaijua intelijensia????? Yaani kukaa tu nakutunga vijisentensi vya ajabuajabu nayo ni INTELIJENSIA?????.... Mungu akurehemu
 
hata angegombea jk sombetini ccm inashindwa

Mkuu kunakipindi nilikuwa Arusha wadau wakawa wanasema eti......(Mungu nisamehe duhhh) "Kwa Arusha kama shetani angesimamishwa kwa Tiketi ya CDm na Yesu kwa tiketi ya CCm "....Eti wangemchagua shetani........
 
chadema wakijilipua wanashinda kabisa mbona pale soweto walifanya nawakashinda kabisa

jilipueni maakamanda mtashinda tuuu

Hapo unatonesha watu machungu,kata hii ndipo ulikuwa uwanja wa kujidai wa Kamanda Judie,mmojawapo wa wahanga wa mabom ya SOWETO.,Mziki wa hapo uspime kwani wananchi wanaujua ukweli na walimuahidi Marehem lazima wawape 'mziki mnene'.Mwee!Mtafrah!!!
 
Kamanda kuna jamaa aliyefukuzwa chadema anaitwa Dominick au Mboya nae anatamba kugombea Sombetin. Tena anadai hakuna kura za maoni anateuliwa moja kwa moja na ameapa atashinda! Eti hata chadema watampigia kura! nafikiri huyu ana akili za maiti.

unamzungumzia yule mboya aliyekuwa na daladala ccm wakamfilisi kisa ni mwanachadema au ni yupi?
 
ccm arusha wala hatuna wasiwasi nao maana tumewashika pabaya,mbwe mbwe za boda boda za kukodisha
kama wamekosa mgombea wanichukue mimi kwa baraka za chama changu cdm kama MCHEZAJI WA KULIPWA ila ntavaa gwanda kama kawa
 
URAHISI...hiki ni cheo gani hapa tanzania sijui unatumia kiungo gani kufikiri.

Inabidi uwe na akili kuelewa michango ya watu, kama huna akili unatoka kapa. Uwe unajaribu kutumia akili japo kidogo tu pindi unapokuta neno lililowekewa inverted commas.
 
chonde chonde watu wa arusha,please ungeni mkono tu ccm ili yasiwakute yale ya Soweto maana jamaa aliyefanya ule unyama bado hajajulikana.
 
Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia alimpiga mkwara mke wake baada ya kushabikia SISIM wakati wa uchaguzi wa madiwani 4-0 akamuambia akiaendelea anamuacha! mama akasalimu amri sasa hivi ni Kamanda.
 
Nipo arusha, asee huwaambii kitu, na nimejivunza kuwa kuna wanachama wa ccm na wafuas wa ccm, wanachama ni wastaarabu na wanaikubal nguvu ya cdm, wafuas wao husubir kuhongwa wafanye vurugu! Kwel arusha ccm ndo basi tena,wako tayar kuchagua hata sau,tlp,cuf n.k bt sio ccm.
 
elezea kidoooogo kwenye kipengele cha ufunguaji wa matawi kwa fujo unaweza kuathiri vipi uchaguzi utakapotangazwa.

soma vizur post! hajamaanisha kuathir uchaguz,ni kwama wameanza kujipanga mapema,bt kwa nguvu ya upinzan bado wamechemka kwan watu hawaipend ccm kama ilivyokuwa jana.
 
soma vizur post! Hajamaanisha kuathir uchaguz,ni kwama wameanza kujipanga mapema,bt kwa nguvu ya upinzan bado wamechemka kwan watu hawaipend ccm kama ilivyokuwa jana.

waambie ccm ni wakurupukaji
 
Back
Top Bottom