CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

Magamba wanateseka sana ila hawana chao Arusha...
 
Ritz chama HAMY-D na hata Rejao maji yakoje yanazamisha hayazamishi? Hebu zungukeni huku na mawazo yenu ya utumwa tuwasikie! Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga. Kudadeki kumekucha tena! Tunakaba mpaka kieleweke!
kazi unayo unalipwa nini na macho kumchuzi? au huwa unaingia bills bule??? Upinzani bado sanaaa
 
Last edited by a moderator:
kazi unayo unalipwa nini na macho kumchuzi? au huwa unaingia bills bule??? Upinzani bado sanaaa

si bora macho kumchuzi luliko anayekulipa wewe mwenye kifafa anaanguk popote haya kaanguka mpaka amechanganya ubongo anakimbia nchi
 
huko sombetini hata wamweke mgombea NAPE au MWIGULU hawafui dafu ng'ooo,chezea CDM wewe M4C.
 
Kwa hali hii inavyoendelea sitoshangaa uchaguzi ujao wakakosa hata mgombea wa urais
 
tusubiri kwanza tume ya uchaguzi kupitia Mkurugenzi mtendaji (w) kutangaza wagombea kupitia vyama vyao kuchukua fomu ya uchaguzi ndipo hapo tutajua kama mgombea amekosekana
 
Back
Top Bottom