CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

kamanda kuna jamaa aliyefukuzwa chadema anaitwa dominick au mboya nae anatamba kugombea sombetin. Tena anadai hakuna kura za maoni anateuliwa moja kwa moja na ameapa atashinda! Eti hata chadema watampigia kura! Nafikiri huyu ana akili za maiti.

mboya si kichaa kabisa na anayo setifiketi ya mirembe
 
Kinana si aliwahi kuwa mbunge Arusha arudi kujaribu kama udiwani atapata wampe hiyo nafasi

Hivi huyu Kinana ni kweli aliombwa kuwa katibu mkuu au alituvunga? Nasema hivyo kwa kuwa sioni kama ana jambo ambalo lingemfanya aombwe kuwa kiongozi.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nani anapenda kuaibika? labda akagombee Mwigulu
 
Habari tulizozipata kwenye intelejensia yetu kutoka ndani ya chama cha mapinduzi ni kwamba wamekata tamaa kabisa baada ya kutafuta mgombea udiwani wa kata ya sombetini na kukosa ndipo wameamua kumfuatilia kijana mmoja kwa jina anaitwa david lesikari mollel ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chadema lkn tulifukuza uhanachama baada ya kugundua ni mamluki.


Harakati za udiwani zimeanza jijini arusha ambapo nasikia muda wowote tutatangaziwa lkn wenzetu wao tayari wameanza kutafuta wagombea na kufungua matawi kwa fujo na mbwe mbwe.nitaendelea kuwapa taharifa zaidi.
Naomba kuwasilisha
hukifukuzwa chadema unakuwa sawasawa na gunia la mavi, mfano ni yale yaliyowapata madiwani waliofukuzwa Arusha na kitakachompata Shibuda
 
Arusha ccm hawana chao kiukweli.
Mimi naichukia ccm sana maana wanatunyonya sana.
 
chadema wakijilipua wanashinda kabisa mbona pale soweto walifanya nawakashinda kabisa

jilipueni maakamanda mtashinda tuuu
 
Eti wanafungua matawi leo! Ama kweli magamba mmeishiwa! Mtanenepeshaje ng'ombe siku ya mnada nyie magamba? Hizo mbwembwe zenu 2mezizoea. Mwigulu alitumia kete ya kumtembeza mlemavu lakini bado akachemsha. Na hii gia ya kufungua matawi haina tofauti na ile ya Mwigulu. Tatizo lenu magamba ni kwamba hamsomi alama ya nyakati--mnajiendea tu kama kipepeo. Wapuuzi wakubwa!
 
Back
Top Bottom