Tume inatakiwa kufahamu kwamba kutokufanya uchaguzi Sombetini kwa kipindi chote hicho ni kinyume na katiba ya nchi inayoruhusu uwakilishi sawa, pia ni kinyume na haki za binadamu kwa vile wanakosa haki zao za uwakilishi,
Tume lazima ielewe kwamba iko kwa ajili ya watanzania na sio kwa ajili ya Ccm kama wabunge wa Ccm wanavyo dhani Ccm ina mamlaka ya kuwatawala Watanzania milele. Ccm jueni kwamba iko siku historia utawaumbua, ushauri wangu kwa Tume itangaze uchaguzi, Ccm ikikosa mwakilishi, basi, Cdm itangazwe imepita bila kupingwa, hiyo ndio demokrasia
Mungu ibariki Tanzania, walaani waangamize wachumia tumbo ndani ya Ccm,