CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

CCM Arusha yakosa mgombea udiwani kata ya Sombetini

nipo arusha, asee huwaambii kitu, na nimejivunza kuwa kuna wanachama wa ccm na wafuas wa ccm, wanachama ni wastaarabu na wanaikubal nguvu ya cdm, wafuas wao husubir kuhongwa wafanye vurugu! Kwel arusha ccm ndo basi tena,wako tayar kuchagua hata sau,tlp,cuf n.k bt sio ccm.

ccm is like hiv aids
 
kuna rafiki yangu mmoja aliniambia alimpiga mkwara mke wake baada ya kushabikia sisim wakati wa uchaguzi wa madiwani 4-0 akamuambia akiaendelea anamuacha! Mama akasalimu amri sasa hivi ni kamanda.

ukiichagua ccm ni laana utakwenda kuulizwa
 
inabidi uwe na akili kuelewa michango ya watu, kama huna akili unatoka kapa. Uwe unajaribu kutumia akili japo kidogo tu pindi unapokuta neno lililowekewa inverted commas.

mtaji wa ccm ni ujinga
 
hapo unatonesha watu machungu,kata hii ndipo ulikuwa uwanja wa kujidai wa kamanda judie,mmojawapo wa wahanga wa mabom ya soweto.,mziki wa hapo uspime kwani wananchi wanaujua ukweli na walimuahidi marehem lazima wawape 'mziki mnene'.mwee!mtafrah!!!

watataga mayai ya mbuni
 
mkuu kunakipindi nilikuwa arusha wadau wakawa wanasema eti......(mungu nisamehe duhhh) "kwa arusha kama shetani angesimamishwa kwa tiketi ya cdm na yesu kwa tiketi ya ccm "....eti wangemchagua shetani........

mungu afanyiwi ziaka wala shetani awezi kushindana na mungu,ccm ni shetani lazma tumkemee kwa jina la yesu
 
.........
Mgombea ni mimi hapa acha uongo wewe...... Unaijua intelijensia????? Yaani kukaa tu nakutunga vijisentensi vya ajabuajabu nayo ni intelijensia?????.... Mungu akurehemu

nasikia mgombea ni jumanne mjusi
 
Arusha kweli ni noma juzi jumapili waliwakodisha madereva boda boda wakazunguka kati nzima ya sombetini na kufungua matawi lkn ilikua aibu.
Hapo vijana walikuwa wanapiga Dili kula CCM kura CHADEMA
 
ushuzi umekubana ww... Syo cdm 2nayoijua ikose mgombea tena a twn..magamba ndyo yanahaha kutafuta wagombea coz kila mtu anaogopa kusimama kugombea na cdm

mpaka sasa cdm inawagombea kumi na tisa mpaka rubani wa ndege
 
Harakati za udiwani zimeanza jijini arusha ambapo nasikia muda wowote tutatangaziwa lkn wenzetu wao tayari wameanza kutafuta wagombea na kufungua matawi kwa fujo na mbwe mbwe.nitaendelea kuwapa taharifa zaidi.
Naomba kuwasilisha
Hivi kumbe CCM bado wanashughuli ya kufungua matawi miaka yote hiyo!. Kama ni kulala walimzidi PONO.
Na sijui wameamshwa na nani maana tayari ni asubuhi ya gombania goli, na uzee wao wataendelea na staili zao za 80's kwa mtazamo wa "Zidumu........." na "Kidumu..........".
 
Back
Top Bottom