Olemandalo
Senior Member
- Dec 7, 2012
- 117
- 12
Habari tulizozipata kwenye intelejensia yetu kutoka ndani ya chama cha mapinduzi ni kwamba wamekata tamaa kabisa baada ya kutafuta mgombea udiwani wa kata ya sombetini na kukosa ndipo wameamua kumfuatilia kijana mmoja kwa jina anaitwa david lesikari mollel ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chadema lkn tulifukuza uhanachama baada ya kugundua ni mamluki.
Harakati za udiwani zimeanza jijini arusha ambapo nasikia muda wowote tutatangaziwa lkn wenzetu wao tayari wameanza kutafuta wagombea na kufungua matawi kwa fujo na mbwe mbwe.nitaendelea kuwapa taharifa zaidi.
Naomba kuwasilisha
acha umbea wewe mnaa mbona hata mimi ni mgombea wa kata ya Sombetini au umetumwa uje umfanyie kampeni huyo Lesikar, alafu unadanganya aliwahi kuwa Cdm akafukuzwa wanachama ili ccm imwamini kwa hili sio? Acha kudanganya watu mwehu wewe!