Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,374
- 29,617
Kipigo watakacho pata CCM kipindi hiki hakita simulika...
yani mwizi wa tembo wetu tumuombehivi huyu kinana ni kweli aliombwa kuwa katibu mkuu au alituvunga? Nasema hivyo kwa kuwa sioni kama ana jambo ambalo lingemfanya aombwe kuwa kiongozi.
Sent from my blackberry 9860 using jamiiforums
kipigo watakacho pata ccm kipindi hiki hakita simulika...
nani anapenda kuaibika? Labda akagombee mwigulu
hukifukuzwa chadema unakuwa sawasawa na gunia la mavi, mfano ni yale yaliyowapata madiwani waliofukuzwa arusha na kitakachompata shibuda
elezea kidoooogo kwenye kipengele cha ufunguaji wa matawi kwa fujo unaweza kuathiri vipi uchaguzi utakapotangazwa.
chezeeeeeeeeeeeeeeee chalii ya chugawanalo limewaganda.kama si lao basi la cuf.ccm ars isahau kushinda uchaguzi wowote maana watu wa ars ni wengine.hawa watu wanataka kiongozi anayethubutu na kuchukua hatua dhidi ya mali saa umma pamoja na haki saa binadam.
hapa arusha hata ccm ikihonga tsh. million 5 kwa kila mpiga kura hawawezi kushinda kamwe.
Chadema tunaongeza diwani mwingine kama juzi kwenye 4 - 0
kipigo watakacho pata ccm kipindi hiki hakita simulika...
wamsimamishe hapo Juliana Shonza
Chadema ni wauwaji na wanyonya damu za watztumain pekee la mtanzania ni chadema
Anayeweza kukosa mgombea ni chadema na wauwaji wenzake sio ccm
Habari tulizozipata kwenye intelejensia yetu kutoka ndani ya chama cha mapinduzi ni kwamba wamekata tamaa kabisa baada ya kutafuta mgombea udiwani wa kata ya sombetini na kukosa ndipo wameamua kumfuatilia kijana mmoja kwa jina anaitwa david lesikari mollel ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chadema lkn tulifukuza uhanachama baada ya kugundua ni mamluki.
Harakati za udiwani zimeanza jijini arusha ambapo nasikia muda wowote tutatangaziwa lkn wenzetu wao tayari wameanza kutafuta wagombea na kufungua matawi kwa fujo na mbwe mbwe.nitaendelea kuwapa taharifa zaidi.
Naomba kuwasilisha
wamsimamishe hapo Juliana Shonza