CCM Arusha kuwafukuza madiwani wake wanne leo

CCM Arusha kuwafukuza madiwani wake wanne leo

CCM wilaya au Mkoa haina mamlaka ya kuwafukuza madiwani waliochaguliwa na wananchi bila baraka za kamati kuu.

Lakini tuchangie as an entertainment.
sure mkuu. suala la Bukoba liwe somo kwetu sote
 
Tumeshasahau sakata la madiwani wa Manispaa ya Bukoba mara hii? Kwa kifupi ni kuwa CCM hawana uwezo wa kufukuza madiwani wao, na hasa ukizingatia nguvu ya upinzani katika jiji la Arusha.
 
Mengine tuongee jamani, lakini hili la ccm kumfukuza diwani yeyote wa Arachuga haliwezi tokea, ng'o!.

CCM ni chama cha kidemokrasia. si kama hawa wenzetu ambao kila kukicha wanatimuana
 
Enyi MaCCM msio na akili, ni nani aliyewaloga?
 
Ccm hawawezi kufanya hivyo ata kama wkilogwa hawatathubutu, nakwambia bora wamfukuze mwenyekiti wao kuliko madiwani wa Arusha. Kwani wanajua wakijaribu kufukuza diwani Arusha basi watakuwa wameamua kufuta Historia ya ccm Arusha kwani CCM arusha haipo, Arusha kuna historia ya ccm tu.
 
Ccm hata wakilogwa kufanya hivyo hawawez hata kumfukuza baloz wa nyumba 10
 
nimepata habari kutoka kwenye kamati ya siasa ya wilaya ya ccm inayoendelea sasa katika ofisi zao kuwa madiwani wanne watafukuzwa leo.

Mtonyaji anadai kuwa ni ktendo cha madiwani hao kuungana na wale wa chadema, pia inaaminika kuwa hao madiwani ni marafiki wakubwa na mwenyekiti wa chadema wilaya, anayeaminika kuwarubuni.

Juzi ijumaa madiwani wa ccm waliendelea na kikao pamoja na wale wa chadema hata baada ya meya wao kutoka na kususa
maweeeee. Jeuri hiyo hawana mkuu.
 
Wewe ndio msemaji wa CCM???

Naona umeshiba pilau ya bure kwenye dina ya Mwigulu Nchemba saizi unapumua tu,,, muombeni Mwigulu ahamie huko huko maana yale mateki awei mliyojibebea sahani mbili mbili yataisha soon.

Baada ya CCM kudondoshwa vitu vyote 168 na kuleta ile 4-0 au four oclock, sidhani kama wana jeuri wa kupambana na CDM kwenye huo usawa. Nawashauri kama wana hamu na uchaguzi wakafukuze madiwani wa kule Msoga Bagamoyo
 
ccm wapo kwenye panic sana,hasa ukizingatia mirija mingi ya ufisadi wao tumeiziba
 
thubutuuuuuuu, hawajipendi eeeeeeeeh.
never ever.
 
Nimepata habari kutoka kwenye kamati ya siasa ya wilaya ya CCM inayoendelea sasa katika ofisi zao kuwa madiwani wanne watafukuzwa leo.

Mtonyaji anadai kuwa ni ktendo cha madiwani hao kuungana na wale wa CHADEMA, pia inaaminika kuwa hao madiwani ni marafiki wakubwa na mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, anayeaminika kuwarubuni.

Juzi ijumaa madiwani wa CCM waliendelea na kikao pamoja na wale wa CHADEMA hata baada ya meya wao kutoka na kususa
Mkuu, hebu tutajie hao Madiwani.
 
Naandika kw herufi kubwa hao hawafukuzwi kw sababu siwazanzibarrrrriiiiiiiiiii
unajua wazanzibar ktk ccm wamechapia
 
Back
Top Bottom