Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,317
- 139,036
CCM Wakithubutu kuwatimua Madiwani wa Arusha Nachukua Gamba la CCM mara moja
basi hata kama hawawezi wawatimue leo,kesho wawarudishe.watakuwa wamejipaisha
CCM Wakithubutu kuwatimua Madiwani wa Arusha Nachukua Gamba la CCM mara moja
wewe ndiye msemaji wa ccmWewe ndio msemaji wa CCM???
Wewe ndio msemaji wa CCM???
Nimepata habari kutoka kwenye kamati ya siasa ya wilaya ya CCM inayoendelea sasa katika ofisi zao kuwa madiwani wanne watafukuzwa leo.
Mtonyaji anadai kuwa ni ktendo cha madiwani hao kuungana na wale wa CHADEMA, pia inaaminika kuwa hao madiwani ni marafiki wakubwa na mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, anayeaminika kuwarubuni.
Juzi ijumaa madiwani wa CCM waliendelea na kikao pamoja na wale wa CHADEMA hata baada ya meya wao kutoka na kususa
wewe ndio msemaji wa ccm???
Kwani na wewe ni msemaji wa wahamiaji haramu? Kawahi ARV yako haraka.Wewe ndio msemaji wa CCM???