CCM hawana ubavu huo.!
Wewe ndio msemaji wa CCM???
nitakuwa wa mwisho kuamini!!
Mengine tuongee jamani, lakini hili la ccm kumfukuza diwani yeyote wa Arachuga haliwezi tokea, ng'o!.
Hivi majambazi siku hizi wanawasemaji?wasemaji wanaongea na audience gani?
wanakusanya watu na malori toka sehemu tofauti nchini tangu lini majambazi na majangili wakaongea na audience?