Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
ccm haina ubavu hata wa kufukuza mjumbe wa nyumba 10
sure mkuu. suala la Bukoba liwe somo kwetu sote
Duh!MACCM yamechoka hadi raha!
Nachokuambia kama kuna kitu magamba hawatadhubutu kufanya ni kuwafukuza hao madiwani!Nimepata habari kutoka kwenye kamati ya siasa ya wilaya ya CCM inayoendelea sasa katika ofisi zao kuwa madiwani wanne watafukuzwa leo.
Mtonyaji anadai kuwa ni ktendo cha madiwani hao kuungana na wale wa CHADEMA, pia inaaminika kuwa hao madiwani ni marafiki wakubwa na mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, anayeaminika kuwarubuni.
Juzi ijumaa madiwani wa CCM waliendelea na kikao pamoja na wale wa CHADEMA hata baada ya meya wao kutoka na kususa
CCM wilaya au Mkoa haina mamlaka ya kuwafukuza madiwani waliochaguliwa na wananchi bila baraka za kamati kuu.
Lakini tuchangie as an entertainment.
wamemuuliza chizi(NAPE) wao lakini?
Nimepata habari kutoka kwenye kamati ya siasa ya wilaya ya CCM inayoendelea sasa katika ofisi zao kuwa madiwani wanne watafukuzwa leo.

Wewe ndio msemaji wa CCM???