CCM and UDASA, this is shameful

CCM and UDASA, this is shameful

Ndio maana hata zoema yao haikuwa ikiendana na kilichokuwa kikizomewa...Nilishangaa sana,km vile walikuwa km wanasubiri kupewa mwongozo wa kuzomewa,sasa mara nyingin akina mwigulu na wengine walikuwa wakinogewa na Weledi wa akina Lissu.Kuna mawa walikuwa wakiwazomea hadi mamluki wao waliojificha ktk kofia mbalimbali.
 
Hata kuingia kwa Mangula,ilibidi kutangazwe.Ccm inakimbia kivuli chake.
 
Hivi ukiambiwa lete ushahidi unao? Au unafuata akiri yako inavyokutuma? Huko ni kulewa demokrasia, nchi zingine watu kama nyie mtajaza magereza tu.
 
haya na leo tena kuna kimbembe kingine ni JAJI WARIOBA MZEE SALIM NA MZEE BUTIKU. ccm c mmezoea kubeba mizoba na kuipeleka popote mtakapo. sasa bbebeni na leo muwapeleke kwenye mdahalo huo wa wazee wakuu zaidi ya mkuu wa kaya.
 
acha porojo wew bana ni mjenga hoja mzuri sana cie anaetufundisha tunamfahamu vizuri na tunamkubali hana bias ccm au chadema wakiboronga huwa hakwepeshi,acha mawazo ya kibavicha.

Inaelekea akili yako ina matatizo kama ya wanachichiem wenzako.Mdahalo wa jana ulikuwa chini ya kiwango sijapata kuona.Kwa mara ya kwanza,tibaijuka,lukuvi wanahudhuria mdahalo.Mdahalo wenyewe umeandaliwa na sisiemu kwa jina la udasa. Bana namfahamu sana,alinifundisha chuo.ni mwalimu mzuri darasani lakini yanapokuja mambo ya siasa za hapa nchini anakuwa kama amerogwa na sisiemu,anabaki kukenyua meno akiishabikia sisiemu hata katika mambo yasiyoshabikika.Hao ndio wasomi wa siku hizi.
 
Makene...

Ni kwa nini Tundu Lissu asingekataa mwaliko?...

Ilishaelezwa hapa nini CCM wanafanya kuhusiana na Kongamano hilo...Nimeshangaa sana kuwaona Lissu, Machali , Kafulila na wajumbe wengine wa UKAWA kama sehemu ya Kongamano hilo...
contradiction!!!!!!!!!!!!
hizi ni double standard za ajbu akbisa toka kwa BAVICHA. nawadharau sana hawa jamaaaaaa
 
hawa BAVICHA tunawajua ni wajinga.. ila kudhihirisha ujinga wenu kwa kiasi hiki ninapata wasiwasi kuwa huenda kinachowasumbua sio ujinga ila ni upu....mba...vu
 
Lakini ndg zangu wa ukawa na nyinyi mmezidi.

1. Kama nikuzomea, mbona lukuvi kazomewa sana. Na hajasema ukawa/cdm imeandaa vijana wa kuzomea. Tena kazomewa sana kuliko lisu.

2. Kwa nn nyinyi Mnajiona kama mna haki sana kuliko wenzenu. Kwamba mnatakiwa mshangiliwe tu, wenzenu ndio wazomewe. Kwa mazuri Yapi mnayoyafanya. Mbona kwenye upinzani kuna matatizo kama ya ccm. Kuanzia kukomalia madarakani Mpaka ufisadi.

3. Kwa mm nilivyoona leo, hoja ndio zilitawala. Hata kama walikodi watu but still watu wamejenga hoja. Tusilazimishe mbeleko.

Mwisho nataka nishauri Kwamba , UKAWA lazima warudi bungeni, na hii ni kwa sababu zifuatazo:-

1. CCM wameshakubali hoja za ukawa, na ndani ya BMK mambo yatakua tofauti na ukawa wanavyodhani. Patakuwa na win win situation. Ukawa wasiogope. Na hili limejidhihirisha leo kwa kauli za mwigulu, wassira na lukuvi mwenyewe. Ifike mahali tukubali Kwamba CCM ni wakubwa, kukiri Kosa hadharani ni ngumu but utatambua kukiri kwao kwa kauli zao za kuzunguka.

2. Prof lumumba jana aliligusia hili
Pia. Alisema anafatilia sana issue hii. Na akasema kwamba kikwete/ccm wameshakubali hoja za ukawa, Ila hawawezi kukiri hadharani coz itakuwa ni kumdhalilidha rais na taasisi ya urais kwa ujumla wake.

3. Serikali tatu zitapatikana, hata kama si kwa majina basi kwa muundo na utekelezaji wake. Na pia, watapata nafasi ya kujadili mambo mengine ya msingi kama tume ya uchaguzi n.k. na hilo ndio la muhimu zaidi kwao.

3. Wananchi tayari hawako upande wa ukawa tena. Wanataka mjadili mengine muwaachie wao wenyewe. Mtapoteza support ya wananchi.

4. Kwa jinsi watanzania walivyo, itakuwa ngumu sana kwa ukawa kuwashawishi wafanye machafuko kama Kenya, wa tz ni waoga kama walivyo viongozi wa ukawa wenyewe.

Ukawa rudini, mambo yako shwari tu. Jifunzeni kuwasoma watu. Wasipobadilika bado mna nafasi ya kutoka tena. BMK sio jela, Kwamba mkiingia safari hii ndio hamtoki tena. Ila mjiandae kwa win win situation.

Hopless
 
Ndio maana hata zoema yao haikuwa ikiendana na kilichokuwa kikizomewa...Nilishangaa sana,km vile walikuwa km wanasubiri kupewa mwongozo wa kuzomewa,sasa mara nyingin akina mwigulu na wengine walikuwa wakinogewa na Weledi wa akina Lissu.Kuna mawa walikuwa wakiwazomea hadi mamluki wao waliojificha ktk kofia mbalimbali.
vipi ushakaba na kuibia wangapi mwezi huu!!! chaga boy
kumbe hata akina bangi lisu wanahongwaga... hahahahah mmeshapotezana nyie
 
Nionavyo mimi UDASA ilitakiwa kuwa neutral na si kuegemea upande mmoja wa chama cha kisiasa CCM. Hili limeonekana wazi pale ukumbi wa Nkurumah jana ambapo mwenyekiti wa mdahalo alishindwa kusimamia na kuegemea CCM. Alipoona vikundi vya vijana wa CCM vilivyoandaliwa kwa ajili ya zomeazomea vikifanyal hivyo kwa wapinzani hata kabla ya kuanza kuongea au anapoanza tu kuongea hakuonyesha juhudi yoyote kuwatuliza.

Hii imeonyesha wazi kongamano hilo liliandaliwa na CCM kwa jina la UDASA hivyo kumfanya mwongoza kipindi kufuata maelekezo ya CCM.

Je, UDASA KUVAA KOTI LA CCM ni sahihi?
 
UDASA ya leo ni tofauti sana na UDASA ya enzi ya mzee punch,njaa mbaya sana ukiiendekeza.
 
CCM waliandaa kamati maalumu ya kumzomea yeyote yule atakayeongea hoja ya maana dhidi yao.
CCM wamekodisha watu wa kuzomea lakini dunia imeona madudu haya.
 
Ni aibu kwa jumuiya ya wanazuoni kutumiwa na kikundi chochote kwa maslah binafsi. Mwisho wa siku hata tafiti zao zitakosa credibility.
 
Njaa mbaya Jamani... Vijana wanageuzwa Malaya wa kisiasa hivi hivi wakijiona ...
 
Nionavyo mimi UDASA ilitakiwa kuwa neutral na si kuegemea upande mmoja wa chama cha kisiasa CCM. Hili limeonekana wazi pale ukumbi wa Nkurumah jana ambapi mwenyekiti wa mdahalo alishindwa kusimamia na kuegemea CCM. Alipoona vikundi vya vijana wa CCM vilivyoandaliwa kwa ajili ya zomeazomea vikifanya hivyo kwa wapinzani hata kabla ya kuanza kuongea au anapoanza tu kuongea hakuonyesha juhudi yoyote kuwatuliza.

Hii imeonyesha wazi kongamano hilo liliandaliwa na CCM kwa jina la UDASA hivyo kumfanya mwongoza kipindi kufuata maelekezo ya CCM.

Mbona vijana wengi wa udsm tupo likizo mikoani.. nilikuwa nawaangalia hao "vijana wa UDSM" wengi sijawahi hata kuwaona udsm either cafeteria, yombo, mabibo wala Hall-1 mpaka Hall-7. Sasa hao wanaudsm ni wapi? au lumumba ndiyo imekuwa udsm?
Shame on CCM.
Pia nina wasiwasi na mwenyekiti wa sasa wa UDASA, maana hata zile meseji alizowatumia wana UDASA haikubainisha wazungumzaji katika mdahalo huo, hivyo sisi tunaoona mambo kwa jicho la tatu tukabaini kuwa huu siyo mdahalo wa UDASA, bali ni mdahalo wa UDACCM
 
Inaelekea akili yako ina matatizo kama ya wanachichiem wenzako.Mdahalo wa jana ulikuwa chini ya kiwango sijapata kuona.Kwa mara ya kwanza,tibaijuka,lukuvi wanahudhuria mdahalo.Mdahalo wenyewe umeandaliwa na sisiemu kwa jina la udasa. Bana namfahamu sana,alinifundisha chuo.ni mwalimu mzuri darasani lakini yanapokuja mambo ya siasa za hapa nchini anakuwa kama amerogwa na sisiemu,anabaki kukenyua meno akiishabikia sisiemu hata katika mambo yasiyoshabikika.Hao ndio wasomi wa siku hizi.


mara zote huwa msomi hata akissema ukweli, ila ukienda kinyume na ------ ya cdm mnasema hana hoja, ivi ushawah shuhudia bana akiiponda ccm au unaongea tu.mara nyingi huyu jamaa mwanasiasa akifanya vizuri huwa hafichi mfano mzuri ni kwa mnyika huwa anamkubili sana kwa ujengaji wa hoja lakin wengine huwa anawaponda coz ni walalamikaji tu hawana hoja zenye mashiko.
 
Back
Top Bottom