CCM and UDASA, this is shameful

CCM and UDASA, this is shameful

Acha.kupanic ww wangeshangiliwa CHADEMA ungesema UDASA ndio wameandaa

"I fully accept that the task of university is to seek for the truth, and that it's members should speak the truth and they must see it regardless of consequences to themselves. A university which tries to put its professors and its students into blinkers will neither serve the cause of knowledge nor the interests of the society which it exists". Mwl J,K Nyerere
 
Wskishindwa ukawa nyie mnalia iringa walikuwa wanafanya kampen mjin uchaguz karenga ukawa kushnei
 
Si kwa taasisi hizo pekee, bali pia watu wenye majina na hadhi katika jamii walioshiriki au kuingizwa kwenye mkakati ulioandaliwa kwenye mdahalo wa leo Chuo Kikuu Dar es Salaam, wakiwemo baadhi ya wachangizaji maada!

Hatuwezi kukaa kimya iwapo inafikia mahali CCM wanatumia kidhalili taasisi za elimu tena zinazohusiana na kiwango cha chuo kikuu kwa kiwango kinachotaka kufanyika leo.

Ilianza kama tetesi. Lakini sasa ni dhahiri with facts, kuwa mmoja wa viongozi wa juu wa UDASA mwenye uhusiano wa kikazi na CCM, ameshirikiana na chama hicho kukodi vijana kwenda Ukumbi wa Nkrumah, UDSM kwenye mdahalo unaorushwa live na Star TV.

Ingelikuwa jambo la heri na labda kujivunia iwapo UDASA ingeingizwa Kwenye mchezo huo mchafu na aibu kwa wasomi, wanataaluma na wanazuoni, endapo tu vijana hao wangekodiwa kwenda kujifunza au kutoa mchango wao kama Watanzania.

The shameful condition is...vijana hao wengi kutokea maeneo ya Buguruni, Dar ea Salaam, waliokodiwa kwa kulipwa hela na kubebwa kwa kutumia mabasi ya ile kampuni ya umma iliyouzwa kifisadi, wamechukuliwa kwa kazi moja tu, kwenda kuzomea! That is shameful...could have been a last thing to be done by an institution like UDASA to its breathing the last!

This is how you honour people like Prof. Chachage or Prof. Haroub or Walter?

This is how you guys at UDASA in collabo with the regime of the day now are transforming the Walters', Chachage's or Haroub's dreams for this country through serious discussion and debates at the Hill?

Mkakati huo wa CCM na ki-CCM umelenga kutaka kuweka precedence (bad of course) na kulazimisha hoja za CCM za kuchakachua Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya wakati BMK linakwenda kuanza Agosti 5, mwaka huu!

Umepangwa kwa namna ile ile ulivyopangwa mkakati ule uliofanywa na Serikali ya CCM kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kukodi vijana waliokwenda kutukana matusi ya ajabu hadi kuwatakia kifo akin a Mzee Warioba na wenzake kwenye Tume ya Mabadiliko!

It becomes even more shameful when it involves those whom, we, the people of this noble nation, could trust them as intellectuals of our times!

Wangelikuwa wamefanya CCM kama ambavyo wananchi wamewazoea (kuhonga na kubeba watu kwenda kwenye shughuli yoyote ikiwemo mikutano yao tusingehangaika. Maana ni sawa na kumtoa samaki majini kisha ukategemea aishi!

Kuhusisha taasisi ya wanataaluma na wanazuoni, tena chuo kikuu ni aibu ambayo hakuna Mtanzania makini atainyamazia.

Waacheni watu watoe maoni yao naturally na automatically! Yawe ni ya kuunga mkono UKAWA au CCM au kutounga upande wowote! Kwanini kupanga au kuleta mercenaries kwenye midahalo au majadiliano! Kwanini CCM haioni aibu kujianika wazi kila siku kuwa imeporomoka na haina kabisa ushawishi wa kisiasa tena kwa Watanzania!

Tutaweka facts zaidi...

Wasalaam

Makene

Ucpanic bro
 
Kama hii nchi imefikia mahali chama tawala kinavitumia vyuo vikuu kama toilet pepar basi hakika anguko letu kama taifa kwenye elimu ni kubwa kuliko tafiti zinazotolewa na wanataaluma wenyewe.

Ni aibu ya mwaka.Hicho si chuo kikuu tena.Nchi haina think tank tena. Huko ndiko waliko wasomi wanaoitwa Benson Bana,ukimsikia akichangia mada utafikiri hakwenda shule.
Mdahalo huu umeandaliwa na ccm kwa jina la udasa ndiyo maana walijaa viongozi wa ccm na kuwa wazungumzaji.
Kwa nini hawa Udasa wawakilishi wa ccm kwenye mdahalo huu hawakuwaita waliokuwa wajumbe wa tume ya Warioba ili watoe ufafanuzi wa mambo yote yanayobishanishiwa? Shame on you Udasa
 
Si kwa taasisi hizo pekee, bali pia watu wenye majina na hadhi katika jamii walioshiriki au kuingizwa kwenye mkakati ulioandaliwa kwenye mdahalo wa leo Chuo Kikuu Dar es Salaam, wakiwemo baadhi ya wachangizaji maada!

Hatuwezi kukaa kimya iwapo inafikia mahali CCM wanatumia kidhalili taasisi za elimu tena zinazohusiana na kiwango cha chuo kikuu kwa kiwango kinachotaka kufanyika leo.

Ilianza kama tetesi. Lakini sasa ni dhahiri with facts, kuwa mmoja wa viongozi wa juu wa UDASA mwenye uhusiano wa kikazi na CCM, ameshirikiana na chama hicho kukodi vijana kwenda Ukumbi wa Nkrumah, UDSM kwenye mdahalo unaorushwa live na Star TV.

Ingelikuwa jambo la heri na labda kujivunia iwapo UDASA ingeingizwa Kwenye mchezo huo mchafu na aibu kwa wasomi, wanataaluma na wanazuoni, endapo tu vijana hao wangekodiwa kwenda kujifunza au kutoa mchango wao kama Watanzania.

The shameful condition is...vijana hao wengi kutokea maeneo ya Buguruni, Dar ea Salaam, waliokodiwa kwa kulipwa hela na kubebwa kwa kutumia mabasi ya ile kampuni ya umma iliyouzwa kifisadi, wamechukuliwa kwa kazi moja tu, kwenda kuzomea! That is shameful...could have been a last thing to be done by an institution like UDASA to its breathing the last!

This is how you honour people like Prof. Chachage or Prof. Haroub or Walter?

This is how you guys at UDASA in collabo with the regime of the day now are transforming the Walters', Chachage's or Haroub's dreams for this country through serious discussion and debates at the Hill?

Mkakati huo wa CCM na ki-CCM umelenga kutaka kuweka precedence (bad of course) na kulazimisha hoja za CCM za kuchakachua Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya wakati BMK linakwenda kuanza Agosti 5, mwaka huu!

Umepangwa kwa namna ile ile ulivyopangwa mkakati ule uliofanywa na Serikali ya CCM kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kukodi vijana waliokwenda kutukana matusi ya ajabu hadi kuwatakia kifo akin a Mzee Warioba na wenzake kwenye Tume ya Mabadiliko!

It becomes even more shameful when it involves those whom, we, the people of this noble nation, could trust them as intellectuals of our times!

Wangelikuwa wamefanya CCM kama ambavyo wananchi wamewazoea (kuhonga na kubeba watu kwenda kwenye shughuli yoyote ikiwemo mikutano yao tusingehangaika. Maana ni sawa na kumtoa samaki majini kisha ukategemea aishi!

Kuhusisha taasisi ya wanataaluma na wanazuoni, tena chuo kikuu ni aibu ambayo hakuna Mtanzania makini atainyamazia.

Waacheni watu watoe maoni yao naturally na automatically! Yawe ni ya kuunga mkono UKAWA au CCM au kutounga upande wowote! Kwanini kupanga au kuleta mercenaries kwenye midahalo au majadiliano! Kwanini CCM haioni aibu kujianika wazi kila siku kuwa imeporomoka na haina kabisa ushawishi wa kisiasa tena kwa Watanzania!

Tutaweka facts zaidi...

Wasalaam

Makene

Tumaini
Makene kwa muda wangu niliokaa pale chuoni saijawahii kuona kituko kama cha leo simu yangu iliisha chaji by tumoro i will be in position of uploading the video wakati wanagombania usafiri wa kurudi makwao
 
"I fully accept that the task of university is to seek for the truth, and that it's members should speak the truth and they must see it regardless of consequences to themselves. A university which tries to put its professors and its students into blinkers will neither serve the cause of knowledge nor the interests of the society which it exists". Mwl J,K Nyerere

mkuu hata wanafunzi wa chuoi wakuwa disapointed na aina hii ya mdahalo
 
Hii nchi haitakuja ikauke vituko....

Very sad, poor CCM.
 
Honey Faith

Wamekodiwa kwa kazi zote mbili, kuzomea na kushangilia kihasara hasara hivi! Inategemea na wakati tu.
An

Kwanini wasiondoke kama Gadaf kuliko kuendelea kuishi kimasikini na Ccm feki ya leo iliyojaa wezi,hakuna meli kwenye maziwa na bahari,daladala dar hazipo tena hakuna anaejali ndani ya ccm.hospitali za umma kupata huduma shida.wanakuja akina Wasira kuwadanganya wananchi mnashangilia upumbafu kweli matz hayana elimu heri wamakonde wa msumbiji,
 
Last edited by a moderator:
Elimu iliyotolewa leo hakuna hata chembe ya shaka chama tawala hakikujiandaaa na katiba mpya.
 
Mafisadi yanajipanga kuendeleza umasikini tanzania hata maji kwa wahindi tu huku yakiwaacha waafrika wenzeo wakiteseka bila majj.Ccm ni janga,
 
Wakikataa wataenda kuuza sura wapi wakati unajua kuwa wao ni wazee wa kuuza sura kwenye vyombo vya habari.

Kwa uwezo huu wa kufikiri tunaliuza taifa letu.
Tujitahidi kidogo wazee.
 
Huwezi kutegemea kushinda vita kwa Jeshi la Kukodi, time will tell brothers, hii nchi bado inahitaji watu waliotayari kujitoa mhanga, kuji sucrifice kwa ajili ya ukombozi wa taifa hili! Harakati bado zinatakiwa.
 
Lakini ndg zangu wa ukawa na nyinyi mmezidi.

1. Kama nikuzomea, mbona lukuvi kazomewa sana. Na hajasema ukawa/cdm imeandaa vijana wa kuzomea. Tena kazomewa sana kuliko lisu.

2. Kwa nn nyinyi Mnajiona kama mna haki sana kuliko wenzenu. Kwamba mnatakiwa mshangiliwe tu, wenzenu ndio wazomewe. Kwa mazuri Yapi mnayoyafanya. Mbona kwenye upinzani kuna matatizo kama ya ccm. Kuanzia kukomalia madarakani Mpaka ufisadi.

3. Kwa mm nilivyoona leo, hoja ndio zilitawala. Hata kama walikodi watu but still watu wamejenga hoja. Tusilazimishe mbeleko.

Mwisho nataka nishauri Kwamba , UKAWA lazima warudi bungeni, na hii ni kwa sababu zifuatazo:-

1. CCM wameshakubali hoja za ukawa, na ndani ya BMK mambo yatakua tofauti na ukawa wanavyodhani. Patakuwa na win win situation. Ukawa wasiogope. Na hili limejidhihirisha leo kwa kauli za mwigulu, wassira na lukuvi mwenyewe. Ifike mahali tukubali Kwamba CCM ni wakubwa, kukiri Kosa hadharani ni ngumu but utatambua kukiri kwao kwa kauli zao za kuzunguka.

2. Prof lumumba jana aliligusia hili
Pia. Alisema anafatilia sana issue hii. Na akasema kwamba kikwete/ccm wameshakubali hoja za ukawa, Ila hawawezi kukiri hadharani coz itakuwa ni kumdhalilidha rais na taasisi ya urais kwa ujumla wake.

3. Serikali tatu zitapatikana, hata kama si kwa majina basi kwa muundo na utekelezaji wake. Na pia, watapata nafasi ya kujadili mambo mengine ya msingi kama tume ya uchaguzi n.k. na hilo ndio la muhimu zaidi kwao.

3. Wananchi tayari hawako upande wa ukawa tena. Wanataka mjadili mengine muwaachie wao wenyewe. Mtapoteza support ya wananchi.

4. Kwa jinsi watanzania walivyo, itakuwa ngumu sana kwa ukawa kuwashawishi wafanye machafuko kama Kenya, wa tz ni waoga kama walivyo viongozi wa ukawa wenyewe.

Ukawa rudini, mambo yako shwari tu. Jifunzeni kuwasoma watu. Wasipobadilika bado mna nafasi ya kutoka tena. BMK sio jela, Kwamba mkiingia safari hii ndio hamtoki tena. Ila mjiandae kwa win win situation.
 
mimi nilishtuka nilipoona nyuso za watu na akinamama waliokuwa wamevaa kanga nikasema hawa wamekodishwa toka Manzese. Zaidi ya yote Lukuvi akapewa nafasi ya kufunga mdahalo!!!. Hivi kweli UDASA walijipanga?.

yan wala mabinti wa sokoni na mama lishe waliletwa hi aibu kubwa sana kwa serikali kwa kweli namuonea huruma sana kaka yangu mh kikwete serikali imemshinda waziwazi so shameful act ccm wamefanya hata mateja kule kariakoo na manzesi wana afadhali
 
Nimeudhulia mjadala waleo honest ccm wanaupofu kabsa,yaani wassira akujenga hoja yoyote yenye maana alibaki kuongea maneno yakisiasa nawale mamluki wao wakawa wanashangilia 2 bila hata yakusikiliza...nakupiga makofi utadhani kunahoja za maana wassira alikua anazitoa...nchi hii inakazi kweli kweli
 
Lakini ndg zangu wa ukawa na nyinyi mmezidi.

1. Kama nikuzomea, mbona lukuvi kazomewa sana. Na hajasema ukawa/cdm imeandaa vijana wa kuzomea. Tena kazomewa sana kuliko lisu.

2. Kwa nn nyinyi Mnajiona kama mna haki sana kuliko wenzenu. Kwamba mnatakiwa mshangiliwe tu, wenzenu ndio wazomewe. Kwa mazuri Yapi mnayoyafanya. Mbona kwenye upinzani kuna matatizo kama ya ccm. Kuanzia kukomalia madarakani Mpaka ufisadi.

3. Kwa mm nilivyoona leo, hoja ndio zilitawala. Hata kama walikodi watu but still watu wamejenga hoja. Tusilazimishe mbeleko.

Mwisho nataka nishauri Kwamba , UKAWA lazima warudi bungeni, na hii ni kwa sababu zifuatazo:-

1. CCM wameshakubali hoja za ukawa, na ndani ya BMK mambo yatakua tofauti na ukawa wanavyodhani. Patakuwa na win win situation. Ukawa wasiogope. Na hili limejidhihirisha leo kwa kauli za mwigulu, wassira na lukuvi mwenyewe. Ifike mahali tukubali Kwamba CCM ni wakubwa, kukiri Kosa hadharani ni ngumu but utatambua kukiri kwao kwa kauli zao za kuzunguka.

2. Prof lumumba jana aliligusia hili
Pia. Alisema anafatilia sana issue hii. Na akasema kwamba kikwete/ccm wameshakubali hoja za ukawa, Ila hawawezi kukiri hadharani coz itakuwa ni kumdhalilidha rais na taasisi ya urais kwa ujumla wake.

3. Serikali tatu zitapatikana, hata kama si kwa majina basi kwa muundo na utekelezaji wake. Na pia, watapata nafasi ya kujadili mambo mengine ya msingi kama tume ya uchaguzi n.k. na hilo ndio la muhimu zaidi kwao.

3. Wananchi tayari hawako upande wa ukawa tena. Wanataka mjadili mengine muwaachie wao wenyewe. Mtapoteza support ya wananchi.

4. Kwa jinsi watanzania walivyo, itakuwa ngumu sana kwa ukawa kuwashawishi wafanye machafuko kama Kenya, wa tz ni waoga kama walivyo viongozi wa ukawa wenyewe.

Ukawa rudini, mambo yako shwari tu. Jifunzeni kuwasoma watu. Wasipobadilika bado mna nafasi ya kutoka tena. BMK sio jela, Kwamba mkiingia safari hii ndio hamtoki tena. Ila mjiandae kwa win win situation.

blah blah nyingi lakini kwa ujumla nakubaliana na 50% ya hoja
 
Kwa ujumla ccm na viongozi wake wanatia aibu kubwa sana kuwasanganya wananchi kwa kupeleka watu pale nkrumah ili washabikie mambo yao ya kifisadi pia ni aibu kubwa sana kwa wasomi wanaotegemewa na taifa hili kununuliwa kifikiri lakini pongezi zangu kwa prof mkangala na dr. mkumbo maana wamesema ukweli wa mambo piga ua ccm ni ngumu kushinda katika kura za maoni ya wananchi wacha waendele na udikteta wao mwisho wao wataona si mbali mungu ibariki tANGANYIKA NA WATU WAKE
 
Back
Top Bottom