JOEL MAKWAIA
Member
- Jan 25, 2014
- 14
- 1
Ukweli utabaki pale pale ukawa hawana mashiko.
Ndio mchango wako unaouona wa maana sana hapa.Nikakabe ya nini wakati nikiingia kwa waswahili naweza wanunua mkopo ktk duka lenye dhamani ya laki 3 tuu hadi nakuwa billionea. Akili yenu mnasubiri kutawaliwa kwa vita wakati akili zenu tunazichambia sasa hivi.vipi ushakaba na kuibia wangapi mwezi huu!!! chaga boy kumbe hata akina bangi lisu wanahongwaga... hahahahah mmeshapotezana nyie
Si wewe wa kwanza kuwadharau hadi ukutane nao.Hata wanyama mwituni na watu wengine huwa hawamuongopi simba wakimwona kwa mbalia ila wakibahatika kumsikia akinguruma....ndio akili uwajia.Na wakimwona anavyofanya wanyama many times his size.Ndipo hukubali nani mfalme.Tabia zenu za mizaha pwani ndizo huwaponza na kuwaingiza ktk shida msiyoweza toka.contradiction!!!!!!!!!!!! hizi ni double standard za ajbu akbisa toka kwa BAVICHA. nawadharau sana hawa jamaaaaaa
hahahaaaaa. akili!!! zipi haswa??Ndio mchango wako unaouona wa maana sana hapa.Nikakabe ya nini wakati nikiingia kwa waswahili naweza wanunua mkopo ktk duka lenye dhamani ya laki 3 tuu hadi nakuwa billionea. Akili yenu mnasubiri kutawaliwa kwa vita wakati akili zenu tunazichambia sasa hivi.
Hao akina Butiku mbona hawakuyazungumza mapungufu ya Muungano wakati wakiwa ktk uongozi wa nchi yetu? Kama waliuchezea ujana wao imeshakula kwao.