Unakumbuka pale ubungo plaza mlileta akina nani? Acheni kuumia iliwatokea, sasa nakutaarifu kuwa kwa mdahalo wa leo Wassira kawafanya kitu mbaya.Honey Faith
Wamekodiwa kwa kazi zote mbili, kuzomea na kushangilia kihasara hasara hivi! Inategemea na wakati tu.
Last edited by a moderator: