RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,761
Hata mimi nawapongeza kwa hilo! CCM imewatesa sana Watanzania...
Zero brains at the forefront to kill their own party!!
Zero brains at the forefront to kill their own party!!
Nilijua tu... lugha aliyoitumia @VUTA NIKUVUTE wengi hawataielewa!Mzee tupatupa kwa Kamba namuaminia.
Zero brains at the forefront to kill their own party!!
Waizi wanapongezana Kisiwandui Z'bar jinsi walivyofanikiwa kwenye "DILI LA ESCROW"!!!!
Mzee tupatupa kwa Kamba namuaminia.
Mmeona,kusikia na kuamini maazimio ya CC?
Mzee Tupatupa
andika hoja siyo kila kitu ESCROW what????
Hawamuungi mkono wanataka kumchomoa tu tena forex hawataki za madafu, lakini wakimchomoa nyingi basi wanaweza kumpitisha maana wajumbe wote wahuni hawajali maslahi ya nchi bali wanajali matumbo yao tu. Huu ndio ukoo wa panya ni uharibifu tu mwanzo mwisho.
Asante Mkuu.Karibu chamani
Mzee Tupatupa
Jipya utalipata mwezi wa tano.