CC ya CCM haikuwa na jipya

CC ya CCM haikuwa na jipya

wana Jf, habarini za asubuhi!!!..
bila kuwachosha ningependa kujuwa idadi ya wajumbe wa CC ya ccm kwa majina.

Maana tunaambiwa Lowassa ana karibia 75% ya wajumbe wa Nec wanao Muunga mkono. je CC ina wajumbe wangapi na ni kina nani?

mimi nawajuwa wajumbe wawili na wote wana muunga lowassa mkono waziwazi, nao ni Sophia Simba na Sadif mwenyekiti wa Uvccm.

CC wamuunge mkono wasimuunge hawana ubavu wa kuliondoa jina lake maana wanajua wazi wakifanya hivyo NEC patachimbika, hawatakubali kupigia kura majina ambayo jina la Lowassa halimo.
 
Back
Top Bottom