TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,302
- 28,016
Hivi hamuwezi ku-comment bila ku-quote? Mnaleta usumbufu usio na maana kwa tunaotumia cm
Kama kuna ulazima wa kunukuu...basi hata nukuu maneno machache.
Hivi hamuwezi ku-comment bila ku-quote? Mnaleta usumbufu usio na maana kwa tunaotumia cm
Kama kuna ulazima wa kunukuu...basi hata nukuu maneno machache.
kijana kuwa makini , la sivyo utanyang'anywa hiyo id ya chama ulie na kusaga meno !
Hata Nyerere ASINGE MFUKUZA Lowassa miezi 9 kabla ya uchaguzi
Haya sijui Lowassa kajadiliwa,sijui kafukuzwa ni mbwembwe tu
Agenda ya masai kumbe uwongo!
Huyu jamaa mpuuzi na muongo wa kutupwa kazi yake kutunga uongo tu cc wanakaa leo hicho anachosema kimekaa jana labda aliitisha petro mselewa ila siyo jk
Nakuunga mkono uzushi umezidi CC inakutana leo na watu hawajui hats protocol za chama wanatunga hata utunz kuwa kinana alisoma mashtaka mapya sio kazi take hiyo no kazi ya mangula.kutunga kwa lengo LA kuchafua watu no jambo bays sanaUkiwa muongo lazima kwanza kabla ya kuleta uongo wako uwe unajitahidi kuangalia ukweli wa suala unalotaka kulitengenezea uwongo
Eti Kamati Kuu ya CCM ilikaa na kuwaongelea wagombea wa Urai na uchaguzi wa serikali za mitaa.
Tatizo lenu vijana wa BAVICHA mnadhani mnafamu wakati hamfahamu lolote. Hata wanaokubaliana na uwongo wako ni kundi lenye fikra kama zako.
Kwa taarifa yako kikao kilichofanyika juzi ni Kamati Kuu Maalum ya NEC.
Inayofafanya kikao leo ni Kamati Kuu.
Hivi ni vikao viwili tofauti ambavyo vina wajumbe tofauti na majukumu tofauti.
Kwa mwanaCCM hai yoyote anafahamu tofauti yake achilia mbali mfanyakazi wa CCM.
Huyu eti ndiyo anawadanganya ni mfanyakazi wa CCM na wao wanakubali.
Wajinga ndiyo waliwao