Caught napping by your boss?

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
Bosi wako akikufumania umelala muda wa kazi,akianza kung'aka,you don't need to panic,fanya kama ifuatavyo>Inua kichwa taratibu>sema KATIKA JINA LA YESU NINAOMBA NA KUSHUKURU,AMEN>fungua macho taratibu halafu muulize boss alikuwa analipi la kukuambia.
 
Ni kweli! Huo ujanja lazima utafanya kazi. Boss atasema: OOOh! samahani. KUmbe ulikuwa unaomba?
 
Back
Top Bottom