catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

Kwahiyo unataka jifanya wamjua uzuri kuliko mamayetu hebu jaribu kuwa na stara ili hata hao wanaotazamatazama angalau wakupaye nawe uwe na aman etii khaaaaa

et sema nini wewe uyo kaka namjua haswaaa tena zaid
 
Thubutuuu wala kipenz mtoto akilia wembe anapewa tuu we ulitaka had kuchovya vidole kwa macho mentor kisa mpole weweweeeee hapa hii namba hatarii hii ooohoo natetea haki ya kaka hapa catherine nawe upo wapi lakin my new wifii jaman alililiiiiiiiii aiiaiaiii

catherin hataki balaa hilo kashapata fununu zake, ita sana mpaka uchoke
 
Wewe ni shemeji.
Mie ni wangu wa moyoni.
sijataka maelezo mim kama shemu wake ujue ni mdogo wa jg huyo soo sitaki atii ni sawa mim nimwambie my bby umbea uo hapana nakushauri nikiwa kama dadako coz meolewa na kaka wa mpenz wako
Tehtehhh
 
Ongeza na la huyu uwe 102problems mana huyu kichomi etii nashukuru kama umeliona hili kua anajichezea movie heheee haya we take one step ahead mko wapii kuna kipaj hapa

wifi we ndo kichomi na ni tatizo kubwa ila kaka yako hajakujua tu kama we ndo unaemkimbizia wake
 
sijataka maelezo mim kama shemu wake ujue ni mdogo wa jg huyo soo sitaki atii ni sawa mim nimwambie my bby umbea uo hapana nakushauri nikiwa kama dadako coz meolewa na kaka wa mpenz wako
Tehtehhh

Teh teh teh....
Nimekuelewa.
Nisamehe my......
 
wifi we ndo kichomi na ni tatizo kubwa ila kaka yako hajakujua tu kama we ndo unaemkimbizia wake

Weweee mentor ananijua dadaake na nimekua mstari wambele kuhakikisha kaka anapata kitu bora mlipendana mlipopendana na wala sikuhusika ktk kuachana kwenu ila ktk hil ntasimamia hadi ukucha ila catherine awe wifi na sitochoka ng'odoo
 
beibe nasty ijumaa kareem! umenionea wapi my kipaply Asprinito?

Keshakuwa vimto huyo si kipuply teena ila nahis atakuwa leo zamu yake kucheza dakukula ye ndo yule anaevaaa kinyago alipita hapa wakasema wanaenda maeneo ya akina bishangaa
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mie siruhusiwi ku-apply manake nimekuwa named heart breaker? Mentor, umekubaliana na kidada chako eeh? Nitarudi
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mie siruhusiwi ku-apply manake nimekuwa named heart breaker? Mentor, umekubaliana na kidada chako eeh? Nitarudi

Samahan ktk mawif nilikupendaga sana ila ndo ivo tena yaliotekea yashatokea its a new era nw we want catherine. Unakumbuka ule mwimbo nilikuaga nakuimbiaga kipind kile mwenyewe king'asti ineed u ilove u as my wii bt ukapatwa sijui naninii yarabii
 
Last edited by a moderator:
Weweee mentor ananijua dadaake na nimekua mstari wambele kuhakikisha kaka anapata kitu bora mlipendana mlipopendana na wala sikuhusika ktk kuachana kwenu ila ktk hil ntasimamia hadi ukucha ila catherine awe wifi na sitochoka ng'odoo

HAya wifi
 
natumai bibie Catherine atakubali ombi la Mentor lililowasilishwa na beibe nasty shostito wa ukwee.
Mentor nakusihi kaka yangu once bi caty akikubali ombi lako naomba utangaze ndoa haraka iwezekanavyo, sio kumchezea mtoto wa watu thn um-dump! i think u understand warra i mean. .m.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom