catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

Namuonea huruma sana huyo catherin, maana bado hajakujua vizur maana we ndo Mentor hapana chezea wewe.

Catherine haya ndo majaribu tu na kumbuka majaribu ni mtaji wakuongeza iman hawa yaliwashinda wenyewe wala asikupe tabu mwayego kakaangu namjua mimi nakumbuka mtu akiacha pale ambapo bado anapahitaj huwa hakos neno mpenz sikia kilio cha kakaangu bana kwabza jina lake tuu ni taswira nzuri waipata he is real a mentor
 
mmh! huyu Catherine hajawah kuja kwa Kaizer wangu ila mye nilikuwa namfundisha ujanja wa jamvini. Mentor nakusaidia kumwita Catherine aje akutibie ila akikataa basi shaka ondoa kuna ajuaye kutibu zaid ya wote naye huyu ni cacico macho yake tu wewe lazima uzimike.

Kwan huyo cacico hakumuona sikamuona ye kilio chake hapa ni catherine namna gan shem au watoa yaliyo moyon?
 
Last edited by a moderator:
We Erickb52 hapo wa kuonewa huruma ni catherin na sio Mentor maana huyo Mentro ndo mzigo ma namuelewa haswaaa

Shem 52 hujiuliz wametajwa wangapi ktka changio la mentor ila huyu tu ndo anlalama au anataka tena my bb is real a great guy a gentleman who goes for the ladies ambao sio pasua kichwaaa upo apo ee ex wifi merrita theteh naomba nieleweke sina maana catherine mwisho wa siku ntakuandikia iv lahasha mama hawa binadamu bila haya hawaend kabisaaa
 
Heheheee kweli aisee ila nakushushia maombi atakuwa mtoto mwema ingawa hadi sasa mwenye afadhali humu ni yeye tu siunajua wale wengine ni hasara tupu?
Salamu zangu kwa Catherine

Amina shem amina jaman loooh bwana yu pamoja nasi na atatenda
 
Last edited by a moderator:
lol!ndo naanza kupata picha kumbe mtu anajichezea movie mwenyewe
Ongeza na la huyu uwe 102problems mana huyu kichomi etii nashukuru kama umeliona hili kua anajichezea movie heheee haya we take one step ahead mko wapii kuna kipaj hapa
 
Shem 52 hujiuliz wametajwa wangapi ktka changio la mentor ila huyu tu ndo anlalama au anataka tena my bb is real a great guy a gentleman who goes for the ladies ambao sio pasua kichwaaa upo apo ee ex wifi merrita theteh naomba nieleweke sina maana catherine mwisho wa siku ntakuandikia iv lahasha mama hawa binadamu bila haya hawaend kabisaaa
Ex wifi beib nasty wala unipi shida maana ukoo wenu nauelewa vilivyo, mnakuja wapole ila mkianza kucharuka wala hamfahi. zaid namuonea huruma catherin.
 
Meritta...unataka nn lakini..kuniumiza kote kule bado na mbivu yangu wataka ila...hutaki na mm nipendwe niwe mtu kwenye watu mamii??!hivi ndo ww ulokua ukintumia pm za mahaba day in day out..nikakukubali..ukaja niacha solemba slipway mamii..leo hii mm si mtu baada ya kuona nlisonga mbele..ntakudediketia wimbo sasa hivi..face drop..unaupata??! Erickb52, beibe nasty, shem Judgement gfsonwin nsaidieni mm..maana moyo unanichanganya mm...
 
Last edited by a moderator:
Catherine haya ndo majaribu tu na kumbuka majaribu ni mtaji wakuongeza iman hawa yaliwashinda wenyewe wala asikupe tabu mwayego kakaangu namjua mimi nakumbuka mtu akiacha pale ambapo bado anapahitaj huwa hakos neno mpenz sikia kilio cha kakaangu bana kwabza jina lake tuu ni taswira nzuri waipata he is real a mentor
Hya wifi na ndo maana nilikutakia kazi njema, ila angalia unamwingiza mwanamke mwenzio kwenye moto mi sina wivu na mtu ila nasema ukweli.... yule ni mentor namjua mimi bhana.
 
Ex wifi beib nasty wala unipi shida maana ukoo wenu nauelewa vilivyo, mnakuja wapole ila mkianza kucharuka wala hamfahi. zaid namuonea huruma catherin.

Thubutuuu wala kipenz mtoto akilia wembe anapewa tuu we ulitaka had kuchovya vidole kwa macho mentor kisa mpole weweweeeee hapa hii namba hatarii hii ooohoo natetea haki ya kaka hapa catherine nawe upo wapi lakin my new wifii jaman alililiiiiiiiii aiiaiaiii
 
Hya wifi na ndo maana nilikutakia kazi njema, ila angalia unamwingiza mwanamke mwenzio kwenye moto mi sina wivu na mtu ila nasema ukweli.... yule ni mentor namjua mimi bhana.

Kwahiyo unataka jifanya wamjua uzuri kuliko mamayetu hebu jaribu kuwa na stara ili hata hao wanaotazamatazama angalau wakupaye nawe uwe na aman etii khaaaaa
 
Meritta...unataka nn lakini..kuniumiza kote kule bado na mbivu yangu wataka ila...hutaki na mm nipendwe niwe mtu kwenye watu mamii??!hivi ndo ww ulokua ukintumia pm za mahaba day in day out..nikakukubali..ukaja niacha solemba slipway mamii..leo hii mm si mtu baada ya kuona nlisonga mbele..ntakudediketia wimbo sasa hivi..face drop..unaupata??! Erickb52, beibe nasty, shem Judgement gfsonwin nsaidieni mm..maana moyo unanichanganya mm...
Mbona na yako ulionifanyia huyasemi au ndo unataka niseme mie, poa nakutakia maisha mema ila badilika
 
Back
Top Bottom