Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Hakuna kitu bana hao wanataka haribu penzi lako kwa mentor mentor kichwa leo kinamuuma kalala mapema kweli ila kesho asubuh atakuja kuweka mambo sawa.love u my wii
Haloo my utamu! Nambie!
Leo kutwa hatujatiana mbonini , kulikoni ? Afu hii agenda inakuajekuaje? Mara inagota pwani !
Mara inarudi bahari kuu !
Unantia imani ujue?
Unavyomuhangaikia nduguyo!
Naona kama washona kubandika kiraka cha kipande cha Khanga kunako Jeans !