catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

We found love in the hopeless plc hahaaa looh ulimshushua haya hatmae unaona bint anakosa direction haya jipumzishe kwa huyu matatizo 99 kaongeze mengne mana wajiekewa mwenyewe. Mi naomba niwaache mda huu kesho naenda jumuiya asubuhi mie so g9t
umeshinda jipigie makofi
 
Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano Kaizer yupo na dada gfsonwin ila macho juu juu kwa CUTE na kiroho kinastuka kwa Remmy. Erickb52 ana mijimama yake miwili. Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (cacico, BADILI TABIA, The secretary na Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa Mentor naona Meritta bado anampenda na sijajua kama King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.
 
Last edited by a moderator:
Mama Chanja eeh! Hapa kunani ?
Wajua leo meshinda nje ya mji , nasimamia shamba lile la vitunguu.
Ndo nakuta hapa vululuvululu !
Nini kinacho....

Laaziz vp vitunguu vinaeleweka kweli? Mwenzangu hapa kuna kilio cha kaka yangu shemeji yako mentor analalmikia kila kukicha si unajua juzi tuu katoka kuumwa bana ni suala la yeye mtima wake upo kwa catherine sasa kuna wakaanga mbuyu na sumu hapa hawataki kabisaa mentor apate mke
 
Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano Kaizer yupo na dada gfsonwin ila macho juu juu kwa CUTE na kiroho kinastuka kwa Remmy. Erickb52 ana mijimama yake miwili. Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (cacico, BADILI TABIA, The secretary na Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa Mentor naona Meritta bado anampenda na sijajua kama King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.

Catheriiine wewe taaafadhali hao ni wale wasiotaka maendeleo huyo merritta asikupe hata chafya my dia hanajipya hapo yupo hajitambui na ndo 99 problems anamsalandia king'ast keshabebwa siku ming huon anajiosha kwa kayzer hapo na kiukweli hapa jukwaan kipenz wanga weng tuu unadhan yan yataka moyo wasubra mamito kama ilivokuwa kwa jg na mim oooh wakazikaanga mbuyu wee but hatmae mi na jg jg na mimi twapendana kufaa pliiiz mentor loves u so much he will actually urs darlin pliz usiniabishe mimi mtu mzima hivii pliiz catherine
 
Last edited by a moderator:
Beibe nasty umenistua ujue! Tatizo mi nataka wa peke yangu. Nikiangalia humu naona men karibia wote wana mtu zaidi ya mmoja. Mfano Kaizer yupo na dada gfsonwin ila macho juu juu kwa CUTE na kiroho kinastuka kwa Remmy. Erickb52 ana mijimama yake miwili. Bishanga nae amewajaza kwenye mohamed trans. Babu Asprin anatokeleza jf nzima, yaani kashindikanika mazima (cacico, BADILI TABIA, The secretary na Kongosho mashahidi hapa). Nikirudi kwa Mentor naona Meritta bado anampenda na sijajua kama King'asti wameachana kweli au wamepeana mapumziko. Najua sharing is caring ila mmmmm (.....). Nimeambiwa kama nataka wa peke yangu labda nimuumbe, so kwa sahv natafuta raw materials.

Mbona mi nipo single, cóme this way baby
 
Last edited by a moderator:
Asante mwaego

My Wife pole kwa mijuhudi kibwena! Unayomjuhudia my Shem.
Btw mbona naona competition ime'rise up kwa sana?
You got plenties competitors with rivals! How comes?
Contesters are so many?
Kwani what is unconditional love?
Navyojua mie all we need to feel loved ! .
All we think about it !
We hope for it !
We fantasize about it !
And we go to great lengths to achieve it !
Nway we feel that our lives are incoplete without it ! .
 
Back
Top Bottom