catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

@Kaizer, I swear in the name of futari wifi aninyime, mie sijawahi hata kukonyezwa na Mentor. Sijui kidada chake kimepatia wapi idea hii.

We apia tuu na mfungo huu utapigwa kofi we kama ulijifanya msafi ukawa unawakandia wengne now ts ur turn mwambie uzuri kayzer usizuge hapa alaa
 
natumai bibie Catherine atakubali ombi la Mentor lililowasilishwa na beibe nasty shostito wa ukwee.
Mentor nakusihi kaka yangu once bi caty akikubali ombi lako naomba utangaze ndoa haraka iwezekanavyo, sio kumchezea mtoto wa watu thn um-dump! i think u understand warra i mean. .m.

Afadhali shosti umekuja na naliunga mkono na nimeshamueleza sahiz asianze nae mara tena ulokole aahaa amuoe then ulokole wataenda ufanya pamoja
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu hapo, hakuna muoaji wala nini. Mentor a.k.a kanyaga twende

Labda catherine apoteze bahat mwenyewe cc inawakaanga sumu sana tuu ila catcat akikubali tuu ooohooo ujue ndoa ipo mlangon na hatuhitaj michango
 
Halooooo haya akaaaa sa nin kutompenda wewe kaka angu mi inanihusu nin sasa akuu my bb mentor ndo mpango mzima

tena inakuhusu sana we si una kazi ya kumtongozea na wanawake huyo kaka yako aliyekosa aibu na soni
 
tena inakuhusu sana we si una kazi ya kumtongozea na wanawake huyo kaka yako aliyekosa aibu na soni

Sijamtongozea ila meshindwa vumilia kuona kakaangu anaumia. Najua unawaza enzi nzile na kwabaht mbaya nilikua masomon so sikukupetipeti mwanzon mekuja ukaakaa mwishowe ukazingua na ndo mie nkawepo mda huo ila sio kitu salamu muhmu sikuhiz watu wanaachana kidemokrasia tuu
 
MI Na wewe ni vita kwa kwenda mbele staki salamu ya kutoka kwa mtu wa ukoo wenu.
 
MI Na wewe ni vita kwa kwenda mbele staki salamu ya kutoka kwa mtu wa ukoo wenu.
Acha hizo we unadhan ungekuwa mpole yangekukuta haya eboo hesma bado ipo na ndo nakwambia salam ntakupa, na kama kubabuka ngoz ubabuke sawa wewe nan wewe tena aaah aaaahaa merrita
 
Sijamtongozea ila meshindwa vumilia kuona kakaangu anaumia. Najua unawaza enzi nzile na kwabaht mbaya nilikua masomon so sikukupetipeti mwanzon mekuja ukaakaa mwishowe ukazingua na ndo mie nkawepo mda huo ila sio kitu salamu muhmu sikuhiz watu wanaachana kidemokrasia tuu
Ngoja niskie shoga ako charminglady atasemaje kwa hili. Kama naye akilikubali nitajua cha kusema
 
Meritta njoo mi nakutaka aisee wasikuzingue

We found love in the hopeless plc hahaaa looh ulimshushua haya hatmae unaona bint anakosa direction haya jipumzishe kwa huyu matatizo 99 kaongeze mengne mana wajiekewa mwenyewe. Mi naomba niwaache mda huu kesho naenda jumuiya asubuhi mie so g9t
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom