...hapo bold uache matusi, hilo ni tusi kwangu. Mimi mzee mwenzako, japo umekula chumvi kidogo zaidi yangu. Ntakuchapa kiutu uzima ujuwesumbai mwingine huyu mwambie Kasie ni bibi bin ajuza abadili mawazo na kurandia vijana wenzie.

...hapo bold uache matusi, hilo ni tusi kwangu. Mimi mzee mwenzako, japo umekula chumvi kidogo zaidi yangu. Ntakuchapa kiutu uzima ujuwe![]()
Ngoja niongee na ankoli kama ataweza kuniazima kikorola chake.Sharti lake tuanaanzia hapa makutano ya bibi titi road na ali hassan mwinyi road. Ndo walau barabara ambayo haina matuta.
Ukikaribia menopause utajielewa.
:spy::spy::spy:
We endelea kupaparika na vitoto, sie wajuzi tuachie wazee ndo wetu. tena usiulize maswali mengi kwamaana ukijua unaweza amia huku.
Nna hasira na Makofuli. Nimeenda ofisini kwake kwa kustukiza sijamkuta. Nasikia kumbe na yeye alienda kuwastukiza wazee wa hazinaHhahaahahahaaa pole babuu, ndo wamekuachia leo baada ya heka heka za siasa, kampeni, kuapishana na kukabidhiana ofisi kuisha. Karibu tena jukwaani mike hiyo endeleza mtanange
Nna hasira na Makofuli. Nimeenda ofisini kwake kwa kustukiza sijamkuta. Nasikia kumbe na yeye alienda kuwastukiza wazee wa hazina
Pole babu, Mitanzania Ndiyo Tulivo cc Nyani Ngabu
Cc anahusika kujibu swali hili Honey pie Monkeeeyyy Ngabuuuuuuu .............. pls don't say what you are about to say
Mhhhh..... Ngoja nisimCC Nyani Ngabu. Asije akakuchenjia bure.
BTW uko kitaa gani? Kuna hela zina kiherehere cha kutumiwa na mrembo hapa kwa wallet.... Nataka nione kama ntashindwa kuku catch kwenye engo hiyo...:smash:
Hahahahaaa babuu na wewee mbona mchokozi hivoo umesahau enzi zile tulikuwa tunaimba alalaye usimwamshe ukimwamsha unalala wewee.... Haya babu wakati pumpkin Ngabu anaamka jiandae kulala......
Niko bagamoyo babuu karibuu huku wallet yako haitaisha itarudi na chenchi
Catch Kasie yataka formula na upatikanaji wake ni kama formula ya coca cola. Kazi kwako.
Hahahahaaa babuu na wewee mbona mchokozi hivoo umesahau enzi zile tulikuwa tunaimba alalaye usimwamshe ukimwamsha unalala wewee.... Haya babu wakati pumpkin Ngabu anaamka jiandae kulala......
Hey want some chicken fajita omelette?
![]()