Catch me if you can boy

Catch me if you can boy

Complete unconscionability. 40 years my foot. You are such an alien. Try to recover the 40+ years you've lost since you came in this planet earth.

I told you before am another champ more than an alien. All you are saying are repetition to Kasie. Was wawili wanasema huna jipya Pole kwa kujichosha
 
Morning Ladies and Gentlemen,

Poleni na shughuli za uchaguzi na wale wanaosubiria matokeo haya msubiriue kwa amani, muwe wapole na msiwe wakali kama pilipili.

Kasinde ni mama wa makamo aged 40 plus lakini deep inside Kasie she sees herself like a 30 yrs old lady yaani she feels energetic and young na ndio maana kwa wale wanaonifatilia wamekuwa wakinisoma maneno na matendo niyafanyayo ni kama mdada wa maika 30 na wengine wamediriki kuniambia mambo ya kitoto wakati umri umeenda wakati umri wangu ni above 40 ningekuwa nimetotolesha saa hizi ningekuwa na mjukuu, hivyo kuimri mie ni bibi but deep inside am a single young lady.

Kilichonileta hapa ni moja ya jinsi ninavyojisikia, jana baada ya kutoka nyumba ya ibada nilirudi home kuandaa chakula na kupanga mambo yangu sawa kisha mchana nikatoka kwenda kutimiza haki yangu ya msingi ya kupiga kura. Nikiwa natoka kituo cha kupigia kura naenda mahali nilipokuwa na miadi na mtu fulani, ile naingia main road kwenye makutano ya Ali Hassan Mwinyi road na Bibi Titi road, akatokea kaka mmoja naye alikuwa kwenye usafiri wake akanichomekea kiasi kwamba ningekuwa kwenye speed tungegongana. Nikachukia kwanini anichomekee wakati jana barabara haikuwa na msongamano wa magari, zilipowaka taa za kijani kuturuhusu alinisoma namba nilitoka resi na nikamchomekea kwa mbele akaminya break za gafla halafu mie yuleeee break taa za salender. Ile tunaruhusiwa kutaka kuondoka ndo namuona kwa mbaali anakuja nikaondoka speed mataa ya st peter nikamuona anakuja faster akakanyaga wese hadi engine inaunguruma anipite haaaa!! nani akubali, nikakanyaga wesee mootooooo hahahahaaa aliisoma namba kama ule wimbo wa CCM hahahahaaa rahaje.

Yaani mnaweza sema nina tabia flani za kiume ila nilifurahi kumpita na hakunifikia hadi nafika mwenge hadi nafika tegeta sijamuona sijui hata aliishia wapi. Kiufupi kwa wataoboreka na tabia za Kasie kuwa kama za kiume, si kosa langu ni makuzi niliyokulia. (natoa habari ambazo sijawahi zisema hapa)

Kasinde ni mtoto wa pekee wa kike, baba yangu mzazi alikuwa anatafuta mtoto wa kike na mie ni wa 5 kuzaliwa na chini nina wadogo zangu 2 wa kiume. Baba yangu alinipenda sana sana alinipa kila alichoweza niwe binti mzuri, bad luck sikuwa kama alivotarajia. Maana kaka zangu na wadogo zangu ndo wamenifanya niwe na mfumo dume kuanzia michezo ninayocheza ni michezo ya kiume, mtazamo wa kifikra, kwenda disco, ubishi kama vile ubishi wa ligi, kupenda magari, mbinu zote na ujanja wa kiume naujua. Na kaka zangu walinifundisha kutokukubali kuonewa na kushindwa. Sasa huyu kijana aliyenichomekea na kuanzisha ligi ya race barabarani aliisoma plate namba maana sikukubali nilitoka speed na nilikuwa na over take fyuu fyuu fyuu. Halafu najisikia rahaa bin happy nilipofikanilikokuwa naenda nikanywa glass ya maji bariidiii.

Kasie says boys, catch me if you can while I know you can't. Bet me if you insist.

Kasinde.

sasa wewe ulikuwa unaendesha kirikuu huyo jamaa alikuwa na land rover 109(breakdown) kwa nn usimpite!
 
The way nilivo mbishi, tunaweza anzia hapo hapo mwanzo wa Ali Hassan Mwinyi road tufanye jogging hadi mbuyuni na kurudi, still najua huwezi kunikamata.

Unaonekana una mbio sana, unaonaje tukufanyie mpango wa olympic
 
Kakojoe ulale

Kumbe na wewe huna tofauti na kiongozi wako kazi kutukana kwenye majukwaa badala ya kusema hoja na kujadili, jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa tusi. Ulianza vizuri kwa hoja iweje umalize kwa kejeli, hoja zimekushinda?
Naendelea kurudia na kurudia, Kasie is another champ, you have tried with all your energy to change Kasie's mind and be as you think is right, I warned you before you did not want to hear and proceed.

Ona sasa kati ya mwanamke na mwanaume, nani huwa akishakojoa inalala......................... hehehehheheeeee
Poleeeeee. Try somewhere else I told you, you can't catch me looh.
Kasie.
 
Hahahaha hivi ushawahi kwenda yale mashindano ya gari Arusha?

Nooh yale ya vile hapana, nataka barabara ya lami isiyo na matuta, mwendo ni fyuuuuuu
 
Unaonekana una mbio sana, unaonaje tukufanyie mpango wa olympic

Nop, siko kimashindano, am doing things for fun. Nafanya jogging kwa afya, naendesha gari kwa starehe ndo maisha ninayoishi maana sina mtoto, sina mume, nina kazi naingiza hela raha najipa mwenyewe
 
sasa wewe ulikuwa unaendesha kirikuu huyo jamaa alikuwa na land rover 109(breakdown) kwa nn usimpite!

Hahahahahaa haikuwa hivyoo, he was driving mark x mie hatchback car.
 
I dare you,
Let's have a date this week-end.

Sharti lake tuanaanzia hapa makutano ya bibi titi road na ali hassan mwinyi road. Ndo walau barabara ambayo haina matuta.
 
Kumbe na wewe huna tofauti na kiongozi wako kazi kutukana kwenye majukwaa badala ya kusema hoja na kujadili, jibu hoja kwa hoja sio hoja kwa tusi. Ulianza vizuri kwa hoja iweje umalize kwa kejeli, hoja zimekushinda?
Naendelea kurudia na kurudia, Kasie is another champ, you have tried with all your energy to change Kasie's mind and be as you think is right, I warned you before you did not want to hear and proceed.

Ona sasa kati ya mwanamke na mwanaume, nani huwa akishakojoa inalala......................... hehehehheheeeee
Poleeeeee. Try somewhere else I told you, you can't catch me looh.
Kasie.
Wewe nye.ge zinakusumbua.

Kuna hoja gani hapo kwenye hicho kihadithi chako.

Naona umekariri kwamba wanaume wote wakishakojoa zinalala. Hivyo vibabu vilivyochoka ndo vikishakukojolea vinalala, upo hapo?? uchamp wenyewe wa kujitwika!!!
 
Back
Top Bottom