Catch me if you can boy

Catch me if you can boy

That's nice young oldster.

Why do you keep referring yourself as 'another champ'?? was there a champ before you? how did you gain that championship like who did you compete with??
That info is confidential until confidential becomes open. For the time being take it that Kasie is another champ.
 
hi Kasinde
you are very good in telling stories...
Nita ku pm... may be i can be lucky to catch you and come up with a story book
Cheers!
Si unajua wa bibi wao ni kusimulia simulizi na unajikuta unasikiliza bila kujua kama masaa yameenda.
 
Hhahahahaaa kama yumo humu JF anakusoma na huo ni ugomvi wenu. I love driving aisee, nimeagiza manual moja hivi nataka nianze race ya manual maana auto naona nateleza sana ile changing gera ile nasikia rahaaaa, mguu hauchezi mbali na clutch ahahahahaaa. I just love myself Kasie mie with kind of life am living. Yupiiiiiiii

Mie njoo na hiyo yako...then mie nitatoka na Peugeot 505 yangu...manual with turbo .....hutafanikiwa kuona nilipopita
 
Hhahahahahahahahahahahah kumbe eee ?? Usimpe kabisa sasa simfanye siri his not you're type but am the one for you my dearest :lock1:
 
Mie njoo na hiyo yako...then mie nitatoka na Peugeot 505 yangu...manual with turbo .....hutafanikiwa kuona nilipopita
Hahahaaa 505 umenikumbusha 504 wakati huooo zamani zilikuwa gari nzito zisizo na mwendo, yaani hapo umenifanya jumamosi niione mbali nnavopenda kuendesha gari
 
Hahahaaa 505 umenikumbusha 504 wakati huooo zamani zilikuwa gari nzito zisizo na mwendo, yaani hapo umenifanya jumamosi niione mbali nnavopenda kuendesha gari

Wee usithubutu...kitu top speed 220...hako kako 180.... halafu turbo...na ndani ya sekunde 7-9 nipo 100-120 km/hr....nakushauli uwe mpole tu....
 
Kukurukakara zote hizo bado utabaki kuwa Mwanamke tu!! No matter what...
 
Wee usithubutu...kitu top speed 220...hako kako 180.... halafu turbo...na ndani ya sekunde 7-9 nipo 100-120 km/hr....nakushauli uwe mpole tu....

Haya bana lets wait for the
 
Wewe hujaona tulivyofichwa na uchaguzi feki? Baada ya muda si mrefu tutarudi hewani kama kawa!

Pole babu mie ndo hata ikutaka kuingia huko maana Tanzania siku hizi imekuwa na uongozi kama kifalme, upande mmoja ukishakuwa madarakani nyie wengine ni kufuata tuu hamta kaa muongoze.
 
Dada Kasinde nimesikia vibaya sana niliposoma hapo kwenye nyekundu, sikutaka hata kumalizia kujua hadithi hii inaishia vipi. nimekupm namba yangu ukipenda waweza nitafuta. Duu,i think you need someone to catch you, and i should be the one.

Mkuuu dada yangu Kasinde keshakuwa mzee....

Tafuta vijana...
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu dada yangu Kasinde keshakuwa mzee....

Tafuta vijana...
Oyaaaa veeepee mi stage hiyo nshapita unankatisha stimu zangu saa hii. Kasinde now days ni ajuza aka bibi. Mzee bado analipa ila ajuza kachoka.

Ukiwaambia kuwa Kasie ni Mzee wataendelea kunitafuta mie ni ajuza hamna kitu nta yote imekauka looh.
 
Ndio maaana nawaambia hawa watu wamuache mama au dada yangu kipenzi Kasinde ....
Ila ngoja nkuulize kitu dada..

Still you in need ya wanaume? Wakati jua lishazama dada kipenzi Kasinde
 
Let me reserve this answer for future reference....

What I can say is, subiri panapo majaaliwa ya maulana tukiwa wazima, ukiwa ajuza kama Kasie utagundua kama utakuwa na uhitaji wa mpenz au la. IVO.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom