Castle lite

Inapunguza hata nguvu za kike
Mie nimempiga marufuku mke wangu kunywa hiyo
Ni balaa.
 
sio castle lite tu too much consumption of any alcohol can result to impotence
 
Basi bia,soda nk zote mbaya!zinapunguza hamu!kunywa juice kwa afya yako na maji.
 
Heeeeeeeeee!!!!!!!!!! Kumbe upo!
Nimeambiwa Ndovu zinapunguza Nguvu zetu, sasa nazikata mpaka ziishe kabisa

sasa nguvu zikiisha itakuwaje Mungi.....?.....usilete masihara ujue........

 
Basi bia,soda nk zote mbaya!zinapunguza hamu!kunywa juice kwa afya yako na maji.

na kweli.....hata hiyo avatar yako inaonekana kabisa unakunywa maji.......
 
Mkuu kama wewe unaishiwa nguvu kwakutumia hiyo Castel Lite usipate shida! Ngoja nikupe ushauri, wakati unapata hiyo bia tupia na kiroba kimoja cha Vladimir baada ya kupata hizo Castle Lite kadhaa halafu nenda kaburudike na mamaa natumaini atakupa habari njema kuhusiana na hilo tukio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…