CAS is now open for 2nd round applications only

CAS is now open for 2nd round applications only

Welcome Again to the Central Admission System. You are here because you were not successful in the last round of selections.You are now given the opportunity to select ONLY ONE PROGRAMME among those that are not yet filled to capacity.
Mimi nimeandikiwa hivyo
Matokeo yangu physics C biology B+ chemistry B

Jiandae na BBA saut mwanza. We si ulichagua muhimbili , bugando, kcmc,
 
Wakuu mi nina div 2.12.'D phy,D chem,D adv math' old grad,nimepita first round.je ninitapangiwa wapi
priority
1.civil ud
2.civil ardhi
3.civil d.i.t
4.civil st.joseph
5.civil mbeya uni.

Civil st joseph
 
0764531080 wale tulio apply TCU na NACTE nipm watsapp ni wa add kwenye group tuwe tunapeana UPDATE mbali mbali

Kuna umuhimu gani.?. I mean why whatsapp.?. Ili hali kila mtu ana profile yake TCU. We dokta huo muda unaupatia wapi?
 
Hiyo CAS ni shida haifunguki toka janA hadi leo vp wengine znawafungukia
 
0764531080 wale tulio apply TCU na NACTE nipm watsapp ni wa add kwenye group tuwe tunapeana UPDATE mbali mbali

Ni ninyi VIJANA ambao mlikuwa mkitusumbua sana kuomba ushauri jinsi ya kuchagua Program na vyuo,, tuliwashauri kulingana na uzoefu wetu. Kuna watu tumefanya applications sana za ndugu jamaa na marafiki kwa TCU na HESLB, Kuna wakati tulikuwa tunawapa updates ambazo ninyi wengi wao mlikuwa hamzijui na hata mkizijua mlihitaji clarifications kwetu. Kuna wakati niliweka namba yangu ya simu humu JF ili kurahisisha ushauri. Nimetafutwa na watu zaidi ya 100 na tumeelekezana sana.. LEO HII ninyi ndo mnataka group la mliofanya application TCU&NACTE (mnajitenga na JF) na kupeana updates ninyi kwa ninyi, "NAWAULIZA __Ni updates gani mnazozijua ambazo hatuzijui/sizijui?..Nendeni whatsup ila najua mtakuja tena kuomba Clarifications hapa..What if nasisi ambao tulishafanya applications na tushamaliza vyuo tunajaribu kuwasaidien tukaanzisha Whatsup group zetu?
 
Jamani CAS ikikubali kufunguka tufahamishane maana tangu jana jioni hadi muda huu haifunguki
 
TAHADHARINI kwenu TCU Applicants 2015/2016:
Endapo utaona katika profile yako kwamba unatakiwa kufanya application upya, na uchague chuo kimoja tu. Ujue hiyo ni Automatic Selection. Ukichagua tu ni mda huo huo utachukuliwa hicho chuo moja kwa moja..Kumbuka maombi yako ya MKOPO kupitia HESLB yale maelekezo ya Priority and non priority. Kuweni makini sio tu una "click" kutest zali litakudondokea kweli. Kwahyo kuweni makin na hayo mambo. Nimezungumzia ENDAPO mtaambiwa chuo kimoja. Kwa uzofu hiyo system ipo tangu 2011 na imeendelea 2012, 2013 na 2014..Na ikitokea hivyo kunakuwa na list ya vyuo ambavyo vitakuwa na uhaba wa applicants kwa wakati huo. Kwahyo the way unavyochelewa kuifanya ndivyo nafasi zinavyochukuliwa na wenzio. Na vyuo ulivyovipenda mwanzo na program zake usitegemee zitakuja tena. Ahsanteni,na ninawatakien heri.
 
Ni ninyi VIJANA ambao mlikuwa mkitusumbua sana kuomba ushauri jinsi ya kuchagua Program na vyuo,, tuliwashauri kulingana na uzoefu wetu. Kuna watu tumefanya applications sana za ndugu jamaa na marafiki kwa TCU na HESLB, Kuna wakati tulikuwa tunawapa updates ambazo ninyi wengi wao mlikuwa hamzijui na hata mkizijua mlihitaji clarifications kwetu. Kuna wakati niliweka namba yangu ya simu humu JF ili kurahisisha ushauri. Nimetafutwa na watu zaidi ya 100 na tumeelekezana sana.. LEO HII ninyi ndo mnataka group la mliofanya application TCU&NACTE (mnajitenga na JF) na kupeana updates ninyi kwa ninyi, "NAWAULIZA __Ni updates gani mnazozijua ambazo hatuzijui/sizijui?..Nendeni whatsup ila najua mtakuja tena kuomba Clarifications hapa..What if nasisi ambao tulishafanya applications na tushamaliza vyuo tunajaribu kuwasaidien tukaanzisha Whatsup group zetu?

Mkuu vijana wanaboa sana hawa....mimi nimemwambia mdogo wangu aache presha kwan sifa za kwenda anazo na ninavoskia hadi january
 
Mkuu vijana wanaboa sana hawa....mimi nimemwambia mdogo wangu aache presha kwan sifa za kwenda anazo na ninavoskia hadi january

Ni kweli, kuna watu wanasumbua sana,, sasa wanataka group la watsup wawe wanadanganyana hukohuko then kutuletea presha zao za watsup huku JF.
 
Jamani CAS ikikubali kufunguka tufahamishane maana tangu jana jioni hadi muda huu haifunguki

Ni kweli mpaka muda huu haifunguki, na tangu jana hata usiku wa kuamkia leo haifunguki. Kijana usiwe na haraka kama ulikubaliwa kuomba manayake vigezo unavyo na utapata chuo. Ahsante na ninakutakia heri. Haya mambo ya tcu kila mwaka huwa hivyo, tena shukurun MUNGU sikuhzi sion kama wanasumbua, kuna wakat walikuwa wanasumbua sana..
 
Back
Top Bottom