thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
ki vip bro zenye nafas ndo sijakuelewa kaka
nilijua unaulizia choices za wanaotakiwa kufanya 2nd round so maelezo yangu ilikuwa ni kuhusu inavyokuwa kwenye selection kwenye profile, kama ni swala la selection kwa waliopata 1st round of selection ni kama walivyoandika kwenye profile kwamba majina yamepelekwa chuoni kwa ajili ya udhibitisho so yataanzia kwenye website ya chuo husika kabla tcu hawajaweka link maalum inayohusisha wote 1st na 2nd ingawa hii inaeza chelewa manake sio ya kuupdate kama ile list ya website za chuo husika.