CAS is now open for 2nd round applications only

mi sijaona ujumbe wala changes zozote kwenye profile yangu,ina maana gani wazee
 
mngekuwa mnasema kama Ni NOAS au CAS ya tcu, tcu hakuna ambae haijabadilika nacte ngoja waje wanaojua.

uyoa atakua NACTE maana uko ata selection bado ndio maana kuna watu wanachanganyikiwa umu hasa wanaposikia watu wamepata selection
 
Naanza kuelewa sasa,kumbe tulioomba kwa kigezo cha diploma tuko chini ya NOAS ya NACTE na hawa form six wako chini ya CAS ya TCU kwahyo hawa TCU wao wameshaanza toa hizo selection Zhao ila NACTE ndiyo bado,kwahiyo wale wa NACTE hakuna changes zozote zile zaidi ya kubadilika kwa capacity pale kweny ile table ya vyuo ulivyochagua.
Kwahiyo msiwe na presha,wakifanya mambo tutaona tu.
 
NACTE selection ni tayari coz ktk profile yangu kunachange inanionyesha course 4 ni capacity 0 na course 1 capacity ni 6
 
ndo ivo, nacte ni za afya tu ndo kimeshaeleweka.
 
NACTE selection ni tayari coz ktk profile yangu kunachange inanionyesha course 4 ni capacity 0 na course 1 capacity ni 6

So unataka kujiaminisha utakuwa umechaguliwa kwenye hcho chuo ambacho capacity ni 6?!
 
Habari mpya

2nd round siyo kuchagua kozi 1 ila unachagua kozi 5 na mwisho wa kureapply ni sept 30
 
NACTE selection ni tayari coz ktk profile yangu kunachange inanionyesha course 4 ni capacity 0 na course 1 capacity ni 6

sasa usichokielewa ni nini hapo. Watu wanasema kule NACTE selection bado hazijatoka au wewe uko NACTE umeshaona umechakuliwa chuo gani? kumbuka vyuo ndio hivyo hivyo na course ni hizo hizo ulizochagua wewe kupitia NACTE na CAS hivyo kama CAS wameshatoa selection maana yake wametoa ktk hizo hizo capacity za vyuo unavyovisoma wewe uko NACTE maana hizo capacity za mwanzo ni ujumla sasa na wa CAS waliomba chuo hicho hicho na kozi hiyo hiyo mfano chuo kikachukua wote kupitia CAS ulitaka wewe uko NACTE uendelee kuona capacity ileile? lazima isome zero au ipungue kulingana na applicants walichaguliwa kozi hiyo na chuo hicho kama capacity ilikua 50 then kupitia CAS wakawa selected 30 basi uko kwako now capacity itasoma 20
 
Kiongozi hapo umeteleza kidogo!kuna nafasi zinatengwa maalum kwa kupitia nacte na wala hazina uhusiano wa moja kwa moja na tcu!kulingana na hangahanga yuko sawa kuona changes katika capacity ila sidhani kama hizo changes zinaashiria tayari ashachaguliwa katika moja ya chuo na kozi aliyoomba!
 
Last edited by a moderator:
Hebu tufafanulien wakuu choice 5 kivipi tena maana huwa naskia unachagua kozi moja tu
wameongeza chance ya ku add up to FIVE programs ,na jana kuna baadhi ya vyuo vilikua na nafasi mfano DUCE ,cjajua thc time.
 
Back
Top Bottom