Cartoon Yenye Ujumbe Mzito!

eacart150908.jpg
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi
tehe tehe tehe tehe tehe tehe!!!!!!!!!!!!!!!

Kha hahaaa hahaaaa hahaaa hahaaaa hahahaaaaa.

Hii ndo kusema kila anayeingia madarakani baada ya Nyerere anaikuza rushwa zaidi ya mwenzie aliemtangulia.

Kwi kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nafikiri kosa lao kubwa ni kuua misingi ya kuanzishwa kwa chama kilichowaweka madarakani.

Nyerere alishuhudia kwa macho yake wakubwa hawa wakifanya kila bidii kufutilia mbali misingi ambayo ndiyo ambamo CCM ilijengwa. Najua aliumia sana. Lakini na yeye labda alisahau kuwa alikuwa na nafasi ya kuanzisha CCM nyingine itakayoendelea na maadili yale aliyoyakusudia mwanzoni.
 
gado kanifurahisha sana ..huyu ndio wakti ule alimchora waandishi wanamlamba miguu....hapa anaonyesha kuwa kikwete ni puppet wa mafisadi ..wamemuweka mkononi ...alafu eti yeye anabweka kama mbwa koko ..kuwatetea mafisadi...du kali!!
 
Hii nayo inahitaji kuanzishia thread? mbona tayari ipo thread ya cartoon hapo chini? Kwanini usiweke tangazo tu tukasome hiyo makala yako huko TanzaniaDaima kwenye sehemu ya matangazo?

Mods pls hamisha hii
 
imekaa vibaya hiii!!! inaweza ikakupeleka huku
 

Attachments

  • mkapa kizimbani.jpg
    mkapa kizimbani.jpg
    23.1 KB · Views: 72
Refer article yako kwenye Tzdaima
Naona hoja imetulia, nadhani serikali inatumia "nguvu za hoja" kwenye suala hili hawana wanalosimamia. Maendeleo hayaji kwa misaada ila kwa kufanya kazi, kutoa vipaumbele sahihi, kutumia rasilimali vizuri, kuwa na mipango bora na kuhakikisha inatekelezwa, wananchi na viongozi kuwajibika kibinafsi na kama timu n.k.... Ni hayo tu.
kapu mzee mkjj acha walione nao OIC wakitembezewa. tatizo hili kapu halijai tu tangu lianze kutembezwa na ombaomba wetu JK
 
Back
Top Bottom