Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,437
Ulijuaje, wewe mchawi? Niache basi nilale huku ndiyo kwanza saa tano.Hapa nilipo, hivi sasa ni Jumatatu saa kumi na mbili na dakika ishirini, asubuhi.
Wewe uko Torabora??
Ulijuaje, wewe mchawi? Niache basi nilale huku ndiyo kwanza saa tano.Hapa nilipo, hivi sasa ni Jumatatu saa kumi na mbili na dakika ishirini, asubuhi.
Wewe uko Torabora??
Haya mashirika ya kigeni demand yao iko juu sana, unajikuta kukimbizana na majukumu inabidi uamke 11, unaondoka nyumbani 12 kuwahi traffic, chai unanywea ofisini, na baada ya hapo labda una jukumu la kwenda vijijini, mnatoka Gezaulole huko saa 11 jioni, unafika ofisini usipoandika ripoti ni kama hujafanya kazi kwa siku ile, ukimaliza yote hayo ni saa mbili usiku usiku ndiyo unatoka ofisini unafika nyumbani saa 4 usiku. Ukifikiria si maisha lakini kuna ada ya watoto, ujenzi wa nyumba, sasa unakumbali kuwa mtumwa kwa milioni 3/4.HUYO MAMA KIBOKO SAA 11 MPAKA NNE USIKU
Saa tano?? Si ulipaswa uwe kazini unachapa kazi???Ulijuaje, wewe mchawi? Niache basi nilale huku ndiyo kwanza saa tano.
Tano usiku mkuu sifanyi night shift.Saa tano?? Si ulipaswa uwe kazini unachapa kazi???
Jamani jamani jamani.... nyie ndo mnasababisha bei ya bia ipande.
Ohooo... basi sawa. Kumbe wewe si nesi.Tano usiku mkuu sifanyi night shift.
Mkuu hiyo ni skill niliyoapa kujifunza ili tu nikuchome wewe sindano tena zila za malaria.Ohooo... basi sawa. Kumbe wewe si nesi.
Nlikuwa naogopa usijenichoma sindano...
Bonny njoo umchukue kaka yako.Sipendagi unafiki aseee msema kweli ni mpenzi wa Umngu
Wewe nenda huko nipangie mida ya kuzaa lakini ujue mimi lazima nitimize idadi yangu, wewe kama umepanga hako kamoja pouwa mimi lazima nitimize, hata kwa kupata mapacha wasio na mama mmoja[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Dunia hii wanaume tulishakuvali kunyanyasika, so kukukatalia kazi siwezi, kukaa zaidi ya mwezi bila kula tunda siwezi
Sina mpango wa kuugua kwa hizi siku za karibuni.Mkuu hiyo ni skill niliyoapa kujifunza ili tu nikuchome wewe sindano tena zila za malaria.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi niko interested na huyo mme wa career woman... kwamba mlikuwa wapi mpaka akusimulie haya yote??
Ushauri wangu, achana na mme wa mtu. Shauri zako nakwambia.
Duuuh!! Hivi kweli ndio hamuwezi kuvumilia haya mambo!! Mbona kujiendekeza hivyo?Sasa suluhisho ni kuishi mwanaune mzima unapiga nyeto eti ubalinda ndoa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sijakubali
Ninyanyapaliwe na mke wangu
Na mimi nijinyanyapae kwa nyeto??
Aaa wapi aseee hapa mchepuko hauepukiki[emoji134] [emoji134]
Ntakucharaza bakora ya makalioni... shauri zako...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hebu lala wewe mzee kijana, vipi home work ushafanya?
Kama lipi mkuuHamuwezi kutafuta suluhisho lingine tofauti?
Mawazo mazuri sana, na twapaswa kutambua kuwa familia ndio msingi mzuri wa kila kitu, jamii na taifa kwa ujumla, pakiharibika hapo ndipo tutarajie kuwa na jamii ya ajabu ajabu.Mawazo yangu:
Ndoa ina majukumu yake,mke anayake na mume ana yake..kazi ya kulea watoto ni ya mama..,,sababu kubwa ya vizazi kuangamia vinaanzia at family level,mama hana mda baba hana mda,huko boarding ndo watoto wanajifunza mambo yasiofaa,hata hvo Mungu mnampa nafasi gani kumkuza mtoto kiimani????!!anaenda madrassa au mafundsho saa ngapi?! Nan anamfundia dua ya kabla ya kula,kulala n.k,,ni mama ambae yupo busy na ofisi,hizo hela unazisaka afaidi nani kama huna connection na wanao?!!,,pili mume unampa nafasi gani?!..ndo maana uislam ukaruhusu ukewenza..maana hio situation kuzini ni asilimia 90% hata ukiwa mchamungu,mwili una mahitaji yake bhanaa..
Tukitoka familia bora tujifunze kusacrifise baadhi ya vitu tunavyovipenda tupate mda wa kua na familia zetu.
Huyo kaka kama muislam mwambie atafute mke aoe..
Kama mkristo avumilie,,au amfate mke maana hakuna namna!
kweli but long distance love inakera sana , japokuwa unasema commitment katika love ..! for how long??, ikifikia kwenye strong feelings ,hapo love inakuwa pending kwanza, ni kutafuta mtu ambaye hana mambo mingi , mapenzi ni mapenzi ,kazi ni kazi vyote ni maaduiHapo cha kwanza ni love, pili trust, tatu ni commitment to each other, unakuwa mbali na nyumbani kama love ipo mtapigiana simu na pia mtaaminiana, cha tatu uliesafiri unajua kuwa unafanya vile kwaajili ya familia na aliye nyumbani hali kadhalika.
ndio maana nililimezea coz its not necessary to be..Na inaweza isiwe hivyo pia jamani.