Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,046
- 127,608
[emoji13] [emoji13] [emoji13] wapi wewe ile ndo ilikuwa inasadifuHii ndio inasadifu taswira yangu..[emoji123] [emoji123]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] wapi wewe ile ndo ilikuwa inasadifuHii ndio inasadifu taswira yangu..[emoji123] [emoji123]
yaani pesa hizi acha tuu!!Furaha yako iko wapi? Climbing up the carrier ladder au kuwa na ndoa familia bora?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chepukoo linahusika looohhHuyo mume nampa pole sana..!
Ndoa imeingia changamoto, akubali au akatae.
Tatizo kubwa hapo ni hiyo physical distance.
Sidhani kama nina ushauri mwingine zaidi ya kupigania kuiungajisha ndoa na familia yake kwa ujumla..! afanye utaratibu wowote, juu chini.. aweze kuishi na familia yake tena.
To be honest..
Mimi siwezi kuvumilia hiyo hali, otherwise nimerogwa.
good adviceMume ana kazi nzuri tu, na mafanikio waliyonayo ni mume kayawezesha hata kumsomesha mkewe kufikia hapo alipo, kipato cha mke kimemzidi mume baada ya hiki cheo kipya lakini kabla ya hapo mume ndio alikuwa juu. Pamoja na hivyo still mume yuko vizuri tu.
Mke hapa lazma atafute uhamisho arudi jirani na familia yake!
Suala la safari za kikaz pia litakua na utaratibu wake, lasivyo achague kazi au maisha ya kawaida ya mume na mke
hadi raha aiseeh!Ninaumbuka marafiki zangu waliona wote walikuwa kwenye medical field, mke alipata kazi Botswana mume alibaki na watoto, mume alilea watoto Tanzania lakini alikua anakwenda kuvisit kila anapopata nafasi, mpaka utaratibu wa familia kukutana ulipokamilika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisehhh!!acha vituko looohh!Mi niko interested na huyo mme wa career woman... kwamba mlikuwa wapi mpaka akusimulie haya yote??
Ushauri wangu, achana na mme wa mtu. Shauri zako nakwambia.
ile ndo nzuri sana brooHii ndio inasadifu taswira yangu..[emoji123] [emoji123]
Too theoretical. Only 0.0001% will manage.Hapo cha kwanza ni love, pili trust, tatu ni commitment to each other, unakuwa mbali na nyumbani kama love ipo mtapigiana simu na pia mtaaminiana, cha tatu uliesafiri unajua kuwa unafanya vile kwaajili ya familia na aliye nyumbani hali kadhalika.
Yaani unapanda mbegu, inastawi, wahuni wanajichumia matunda kilaini tu..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chepukoo linahusika looohh
Hapo cha kwanza ni love, pili trust, tatu ni commitment to each other, unakuwa mbali na nyumbani kama love ipo mtapigiana simu na pia mtaaminiana, cha tatu uliesafiri unajua kuwa unafanya vile kwaajili ya familia na aliye nyumbani hali kadhalika.
Here it is..Too theoretical. Only 0.0001% will manage.
Kumbe hujalala?? Nimeona kimya wozap nikajua ushalala... loooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisehhh!!acha vituko looohh!
Hata Bible inasema huwezi kutumikia mabwana wawili, nikimaanisha Mume na Kazi kama hiyo kwa wakati mmoja, ipo siku kimoja lazima kitakuponyoka....Hapo cha kwanza ni love, pili trust, tatu ni commitment to each other, unakuwa mbali na nyumbani kama love ipo mtapigiana simu na pia mtaaminiana, cha tatu uliesafiri unajua kuwa unafanya vile kwaajili ya familia na aliye nyumbani hali kadhalika.
[emoji23] [emoji23] Niko kwa bed nimeriplaiKumbe hujalala?? Nimeona kimya wozap nikajua ushalala... loooo
Kheeee....... uongo sio dawa.[emoji23] [emoji23] Niko kwa bed nimeriplai
u havnt respond
Kesho ni J3 jamani mida ya kulala hii.Kheeee....... uongo sio dawa.
Mi namuachia Mungu
loooh!wewee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] babu acha usaniiKheeee....... uongo sio dawa.
Mi namuachia Mungu
Kama ni mapenzi ya kweli mtaweza, ngoja nikwambie cheating nyingi katika jamii yetu zinatokana na tamaa ya maisha pamoja na matatizo ya ki uchumi, mara nyingi mwanamke anaejielewa akiwa na mpunga wa kawaida tu na akamheshimu mume wake maisha yanakwenda. Ni wanawake wa chache ambao kama ana kipato kikubwa analeta mshahara kwa mume wake waubdget wote.Too theoretical. Only 0.0001% will manage.
Hapa nilipo, hivi sasa ni Jumatatu saa kumi na mbili na dakika ishirini, asubuhi.Kesho ni J3 jamani mida ya kulala hii.