Career women: Nisaidieni katika hili

Career women: Nisaidieni katika hili

Nimekumbuka story moja, mama alikuwa kibosi flani hivi, halafu mtu wa bia kinoma, basi akitoka kazini anapitia baa, anazipiga mume anamsubiri nyumbani, akirudi dereva ndiyo anamshusha mama kwenye gari hajitambui, mzee sikumoja alimsemea mbovu dereva, wewe nitakumini vipi na mke wangu, dereva akasema mzee mimi nishukuru ninayomsaidia mama, siku nyingine mama anatapika kwenye gari, dereva inabidi akaoshe.
Unaishi wapi huko ambapo hadi muda huu bado haijawa J3?
 
Uhamie kwa mkeo if possible, au ukitulize ukisubiri mambo ya uhamisho yakae sawa au mpange namna bora ya kuonana mara kwa mara.
Kuna jamaa moja jirani yake amemuoa mke wake abaye ni mwalimu,ana mwaka wa tatu wanaonanaga likizo tuu wame fight uhamisho mpaka wameamua wapotezee tu,hivi utaweza kila siku natoka mfano dar kwenda arusha kumfuata mkeo? hyo nauli tu changamoto!
 
kama kweli anampenda mme wake si angeomba transfer tuu mbona zinatolewa kwa kigezo cha kuwa karibu na mme,swala la watoto wakina mama huwaga wakali akitaka mmoja ni huyoo tu hasa waliosoma na kupangiwa kazi ngazi za juu
Kama hapa yaani sidhani kama mtoto ataongezwa, alafu baba ndio alitaka wa4!!
Transfer sio rahisi kihivyo mama, na ukumbuke hiki cheo ni kipya kwahiyo hadi aje apate uhamisho itachukua muda, na kazi yenyewe ndio hii wanahamishwa mara kwa mara, hivyo anaweza kurudi kwa mume alafu ikatokea la kutokea akahamishwa tena!!
 
mbona nasikiaga mnajitetea kuwa Women are polygamist in nature, they always cheat, but they still love the one they truly love the most.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mbona kama umebadili hii kauli!!
Au umemrefer yule mnijeria?
 
Nitakushtaki, nitakuwa na wanasheria 10 wa kigeni na wawaili kutoka gambosh.
Kwa hiyo avatar yako... njoo nao 50. Ila tu nakuomba uutumie huo mdomo vizuri kutimiza matarajio yangu.

Hakika sitakusahau.
 
Wanawake kama hawa mara nyingi sana huwaga wanachagua wanaume pia wao huwa hawaangalii mapenzi ya ndani bali huangalia jee mwanaume huyu anajali, na always huchagua wanaume wasiowazidi ili kuepusha ile kusumbuliwa sumbuliwa , na kama ishu ya kupangiwa mbali mwanaume huyu ye kwa kuwa kazi zake sio zile za kum keep busy ,labda anasimamia miradi ya mkewe hapo nyumbani na ishu nyingine , hata mkewe akimuita njoo huku nina hamu na wewe kwa kuwa dume suti yupo yupo tuu fasta anaenda na usafiri ashapewa , we utaongea nn hapo ,watoto kwa miaka 5 ya ndoa wamezaa 2 washapata mrithii wao

√√hawa wakina mama wafanyao kazi za kupangiwa huko juu wako makini sana kuchagua mme mara nyingi huotaga ndevuu yani sijui kuna uhusiano gani, wako makini, wakali, hugombeza waume waoo

√√hapo sasa mawifi ndo wataleta mdomo mdomo kuharibu raha za watuu
Sasa huyu wakati anaolewa alikuwa na kazi ya kawaida tu, mumewe ndio kamsapoti kwenye kumsomesha hadi kufikia hapo alipo sasa. Kwahiyo ni tofauti kidogo.
 
Nimekumbuka story moja, mama alikuwa kibosi flani hivi, halafu mtu wa bia kinoma, basi akitoka kazini anapitia baa, anazipiga mume anamsubiri nyumbani, akirudi dereva ndiyo anamshusha mama kwenye gari hajitambui, mzee sikumoja alimsemea mbovu dereva, wewe nitakumini vipi na mke wangu, dereva akasema mzee mimi nishukuru ninayomsaidia mama, siku nyingine mama anatapika kwenye gari, dereva inabidi akaoshe.
Duuuh!! Kuna wanawake wanapata wanaume jamani!!!
 
Kuna jamaa moja jirani yake amemuoa mke wake abaye ni mwalimu,ana mwaka wa tatu wanaonanaga likizo tuu wame fight uhamisho mpaka wameamua wapotezee tu,hivi utaweza kila siku natoka mfano dar kwenda arusha kumfuata mkeo? hyo nauli tu changamoto!
Hizi case za hivi ziko nyingi jamani, i have a friend nae uhamisho umebuma kumfuata mumewe mwaka wa pili sasa. Nao kuonana ni likizo hadi likizo[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
hapo kwa mbaali hous geli anahusika ,na kama kamuacha mzee na haua geli atakuta watoto wameongezeka sasa.
Baada ya mtoto kwenda boarding now yupo na house boy, mama ndio yupo na house girl.
 
Hizi case za hivi ziko nyingi jamani, i have a friend nae uhamisho umebuma kumfuata mumewe mwaka wa pili sasa. Nao kuonana ni likizo hadi likizo[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
yupo mwingine best yangu mumewe yupo dar yy yupo iringa
 
Kwa hiyo avatar yako... njoo nao 50. Ila tu nakuomba uutumie huo mdomo vizuri kutimiza matarajio yangu.

Hakika sitakusahau.
Hebu kakojoe ulale we mzee!! Huu muda wa wajukuu.
 
Back
Top Bottom