Hili suala naona ni rahisi kwa wenzetu wazungu kwa sisi waafrika ambao tumezoea mwanamke ndio wa kuwa nyumbani inakuwa changamoto kwakweli.Hapo cha kwanza ni love, pili trust, tatu ni commitment to each other, unakuwa mbali na nyumbani kama love ipo mtapigiana simu na pia mtaaminiana, cha tatu uliesafiri unajua kuwa unafanya vile kwaajili ya familia na aliye nyumbani hali kadhalika.
Kwa case nilioitoa wana mtoto mmoja, na mwanamke anadai it has to wait kwanza kuwa na mtoto mwingine maana yuko busy sana kwa sasa.Naam naaam ngoja nikae vizuri :
Hili jambo ni pana saana kiuweli ila
Kabla ya yote inategemeana na aina ya kazi, mazingira, aina ya ndoa(wanaheshimiana kwa kiasi gani), na umri wa ndoa pia(ukubwa wa familia je watoto wapo? Wangapi?) Na mengineo.
Naandika naishia katikati hili suala linategemeana na jinsi familia ilivyo.
Hili suala naona ni rahisi kwa wenzetu wazungu kwa sisi waafrika ambao tumezoea mwanamke ndio wa kuwa nyumbani inakuwa changamoto kwakweli.
Inawezekanika hata kwetu japo suala geni siku zote lina changamoto zake.Hili suala naona ni rahisi kwa wenzetu wazungu kwa sisi waafrika ambao tumezoea mwanamke ndio wa kuwa nyumbani inakuwa changamoto kwakweli.
Kwa case nilioitoa wana mtoto mmoja, na mwanamke anadai it has to wait kwanza kuwa na mtoto mwingine maana yuko busy sana kwa sasa.
Maybe mama anapalilia cheo kipya, maana haina muda mrefu sana.Mmhh apo mama kuacha kazi ni ngumu na baba nae kashachoka kuplay as a mother na father apo apo........ Kwani mama hana likizo??? Aombe basi japo kalikizo kasichokua na malipo ili amfurahishe mume wake even once a year..... Duh izi ndoa nazo ni ngumuuuuu yani hamna penye afadhali
Umeshaona mtu anakimbia maombi?Hahaaaaa!! Kwakweli sio kwa sala hiyo!!
Duuuh!! Kwanza mwanamke kuhamia aliko mume ni ngumu kidogo maybe itachukua muda sana maana kahamishiwa mkoa tofauti miezi mitano iliyopita baada ya kupandishwa cheo.Inawezekanika hata kwetu japo suala geni siku zote lina changamoto zake.
Binafsi : ningewashauri wqfanye namna mmoja(ke) amfuate/ahamie kwa mwezake waishi sehemu moja na wawe na mdada wa kazi.
Wakiamka asubuhi siku za kazi mdada wa kazi anasaidiana na mama kazi ndogo ndogo kama vyombo chai na kufagia uwanjani kama upo huku mzee akiendela na kazi zingine kama kupasi (zake na za mkewe), kuzuga na mtoto wakati wife akiwa busy. Baada ya hapo wanaenda kazini wanamwacha mdada wa kazi na mtoto.
Mchana kila mmoja anakula kazini kwake ni (utaratibu wa ofisi nyingi).jioni mama + wanawahi nyumbani kwa majukumu ya jioni.
Note: familia ya namna hii inahitaji ndoa sio vidoa doa vya kuokotana. Halafu inabidi muelewe sisi wanaume wa kiafrica kuishi kizungu labda mtuzoeshe taratibu mpaka karne ijayo. Kazi za nyumbani kama kupika, kufagia,kudek, kufua nguo za mtoto, usimpangie mmeo ratiba la sivyo mtagombana.