Career women: Nisaidieni katika hili

Career women: Nisaidieni katika hili

Huyo mume nampa pole sana..!
Ndoa imeingia changamoto, akubali au akatae.

Tatizo kubwa hapo ni hiyo physical distance.

Sidhani kama nina ushauri mwingine zaidi ya kupigania kuiungajisha ndoa na familia yake kwa ujumla..! afanye utaratibu wowote, juu chini.. aweze kuishi na familia yake tena.

To be honest..
Mimi siwezi kuvumilia hiyo hali, otherwise nimerogwa.
 
Duuuh!! Kwanza mwanamke kuhamia aliko mume ni ngumu kidogo maybe itachukua muda sana maana kahamishiwa mkoa tofauti miezi mitano iliyopita baada ya kupandishwa cheo.

Hiyo ya kufanya kazi za nyumbani kabla ya kwenda kazini ni ngumu maana mtu anayeondoka nyumbani saa 11asubuhi ili afanye hizo kazi ataamka saa ngapi?
Maybe kwa wale wanaoishi maeneo yasiyo na jam.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo pa kuishi kizungu eti tuwazoeshe hadi karne ijayo, why msijizoeshe wenyewe maana mambo na nyakati zimebadilika?
Basi mtoto aende kwa mama
(unajua kwanini nimesema hili) mzee kila/baadhi ya wikiendi awe anaenda kuwatembelea. Ila wote wakubali aslimia za kusalitiana zitakuwa nyingi.

Mmoja kuhamia/kutafuta mtu wa kubadilishana naye ni nzuri I have experience ila kwa awamu ya huyu mzee ndiyo mambo hatari sasa! !

Mama zetu ni nyie Anzeni kutubadilisha toka tukiwa wadogo. .sasa wewe unanilea kiafrica halafu ukiniozesha kitoto chako[emoji51] utake tuishi kizungu [emoji126][emoji126]
 
Huu ndo ukweli kuwa huwezi tumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja,ndoa haiwezi kuwa stable kwa muda mrefu hasa wakati huu ambao maadili ya ndoa yameporomoka sana,hapo wanaabudu pesa tu sio familia so wawe wapole tuu hata siku ukisika mwenzio amauza game inabidi msameheane tu pesa ndio iwe faraja yenu
 
Kwa case uliyoiweka hapo juu, hawa wazazi wana hatari ya kupoteza mapenzi na mototo wao, mtoto akiwa mdogo anahitaji kuwa na attachment na wazazi wake. Ni raha kiasi gani kumfundisha mwanao jinsi ya kuosha sahani yake, kufua nguo, au kujitunza kike kama ni wa kike, hata kumfundisha kukata vitunguu na nyanya.

Mama alitakiwa siku anazokuwa nyumbani a show love to the family, mchana anakuwa na mtoto wake wakifanya kazi za ndani na usiku watu wa kilala unamkumbusha mume wako kuwa wewe ni yule aliyekutolea posa kwenu.
Ni kweli kabisa usemayo, lakini ilibidi wafikie maamuzi hayo baada ya mama kuhamishwa kikazi, na kazi yake ni ya kusafiri muda mwingi kwahiyo mtoto analelewa na house girl sana sana na kwakuwa hata baba hana muda kihivyo wa kuwa nyumbani muda mwingi.
Emagine mtoto ndio kwanzaa yuko darasa la 2.
 
Furaha yako iko wapi? Climbing up the carrier ladder au kuwa na ndoa familia bora?
Hili nalo neno!! Maybe anahitaji both, ila moja imekuwa too demanding kuliko nyingine.
 
Naona makungwi mbalimbali wanakimbilia huku,na kwa mara ya kwanza nawaona makungwi wa kiume!![emoji1].........mimi ngoja nikae pembeni nifuatilie hii elimu!
 
mie ndio maana nataka nijiolee zangu form four failure. atulie home tuu. hawa career woman shida tupu. ukimwambia nifuate mimi mume atakwambia inferiority complex. wai...shida ya nini kama vipi ata form four failure papuchi anayo stress za career woman za nini.
 
It seems she is the bread winner or rather the one who brings home the bigger potion.
Mume ana kazi nzuri tu, na mafanikio waliyonayo ni mume kayawezesha hata kumsomesha mkewe kufikia hapo alipo, kipato cha mke kimemzidi mume baada ya hiki cheo kipya lakini kabla ya hapo mume ndio alikuwa juu. Pamoja na hivyo still mume yuko vizuri tu.
 
Huyo mume nampa pole sana..!
Ndoa imeingia changamoto, akubali au akatae.

Tatizo kubwa hapo ni hiyo physical distance.

Sidhani kama nina ushauri mwingine zaidi ya kupigania kuiungajisha ndoa na familia yake kwa ujumla..! afanye utaratibu wowote, juu chini.. aweze kuishi na familia yake tena.

To be honest..
Mimi siwezi kuvumilia hiyo hali, otherwise nimerogwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti labda uwe umerogwa.
Shukrani kwa mchango wako tho.
 
Nilifikiri hata mwanamke aki earn more still husband chips in more.....we had this discussion here!
Inategemeana na aina ya mahusiano mliyonayo.
 
Huy
Ni kweli kabisa usemayo, lakini ilibidi wafikie maamuzi hayo baada ya mama kuhamishwa kikazi, na kazi yake ni ya kusafiri muda mwingi kwahiyo mtoto analelewa na house girl sana sana na kwakuwa hata baba hana muda kihivyo wa kuwa nyumbani muda mwingi.
Emagine mtoto ndio kwanzaa yuko darasa la 2.
Wangetafuta housegirl au mama mtu mzima wa kukaa nyumbani na mtoto, awe wa malezi ya mtoto tu, uzuri wake watoto wanakua, akifika angalau darasa la tano anaweza kujiangalia mwenyewe.

Kuhusu mapenzi ya wanandoa hao, mama amwekee baba mazingira ya kuwa he is free to visit at any time kidogo itampa matumaini.
 
Basi mtoto aende kwa mama
(unajua kwanini nimesema hili) mzee kila/baadhi ya wikiendi awe anaenda kuwatembelea. Ila wote wakubali aslimia za kusalitiana zitakuwa nyingi.

Mmoja kuhamia/kutafuta mtu wa kubadilishana naye ni nzuri I have experience ila kwa awamu ya huyu mzee ndiyo mambo hatari sasa! !

Mama zetu ni nyie Anzeni kutubadilisha toka tukiwa wadogo. .sasa wewe unanilea kiafrica halafu ukiniozesha kitoto chako[emoji51] utake tuishi kizungu [emoji126][emoji126]
Hapo mwisho nimepapenda, inabidi tuanze tangu mkiwa watoto kwakweli.

Na hili suala la awamu hii ndipo penye tatizo haswaaa,kuhama sio lelemama.
 
Back
Top Bottom