Mawazo yangu:
Ndoa ina majukumu yake,mke anayake na mume ana yake..kazi ya kulea watoto ni ya mama..,,sababu kubwa ya vizazi kuangamia vinaanzia at family level,mama hana mda baba hana mda,huko boarding ndo watoto wanajifunza mambo yasiofaa,hata hvo Mungu mnampa nafasi gani kumkuza mtoto kiimani????!!anaenda madrassa au mafundsho saa ngapi?! Nan anamfundia dua ya kabla ya kula,kulala n.k,,ni mama ambae yupo busy na ofisi,hizo hela unazisaka afaidi nani kama huna connection na wanao?!!,,pili mume unampa nafasi gani?!..ndo maana uislam ukaruhusu ukewenza..maana hio situation kuzini ni asilimia 90% hata ukiwa mchamungu,mwili una mahitaji yake bhanaa..
Tukitoka familia bora tujifunze kusacrifise baadhi ya vitu tunavyovipenda tupate mda wa kua na familia zetu.
Huyo kaka kama muislam mwambie atafute mke aoe..
Kama mkristo avumilie,,au amfate mke maana hakuna namna!