Car security: Je, kuna Alarm System yenye 'KILL SWITCH' ndani yake?

Car security: Je, kuna Alarm System yenye 'KILL SWITCH' ndani yake?

inawezekana, muda mrefu sana nilifunga Lumumba na nikauza na gari.

Niliwahi kuitafuta Autowatch pale Lumumba sikupata. Genuine haikuwepo kabisa, nikaambiwa zimekuwa adimu sana. Niliambiwa zilizopo ni feki tupu!

Naona hazina mzunguko kibiashara. Wateja wengi wanafunga haya malarm ya kichina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom