Car alarm system

Sputam

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
600
390
Habari ndugu,

Nataka kufunga car alarm system kwenye gari langu lakini sina utaalamu wa kujua ni kampuni gani napata car alarm nzuri na imara.Nataka car alarm system angalau isivuke tsh 200,000/ hapo ikiwemo na gharama za kufanya installation kwa fundi.

Nazijua za aina 2 tu,TAMARACK na OCTOPUS,Kati ya hizo ipi nzuri?km kuna na aina nyingine ni zipi? Naweza kupata kwa sh ngapi?
Msaada tafadhali kwa wataalam na wazoefu wa haya mambo.

Gari langu ni kwa shughuli za kifamilia na ninalipack nyumbani kwangu.

Ahsanteni.
 
Alarm muhimu sana kwenye gari haswa ukikaa mikoa yenye purukushani za wizi wa hapa na pale kama Dar alarm ni alarm tu usihangaike kampuni kwa sababu alarm zote zinatoa mlio wa kumstua mwizi kuwa tayari kinenuka. Mimi nimefunga na sijutii
 
Nimesikia Alarm zinakua zinaharibu battery je ni kweli?
 
Habari ndugu,

Nataka kufunga car alarm system kwenye gari langu lakini sina utaalamu wa kujua ni kampuni gani napata car alarm nzuri na imara.Nataka car alarm system angalau isivuke tsh 200,000/ hapo ikiwemo na gharama za kufanya installation kwa fundi.

Nazijua za aina 2 tu,TAMARACK na OCTOPUS,Kati ya hizo ipi nzuri?km kuna na aina nyingine ni zipi? Naweza kupata kwa sh ngapi?
Msaada tafadhali kwa wataalam na wazoefu wa haya mambo.

Gari langu ni kwa shughuli za kifamilia na ninalipack nyumbani kwangu.

Ahsanteni.
Karibu boss wangu alarm zipo nyingi Sanaa.. ila mostly affordable kwa Toyota nyingi ni Tamarack ipo vizuri sana kwenye ulinzi wa chombo chako.. lakini pia ipo Autowatch.. japo ni gharama but iko vizuri zaidi
Karibu ofisini Magomeni Dar es salaam
+255766496041
 
Taja bei, Taja Bei.
 
Back
Top Bottom