TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Mbunge wa mbinga magharibi (ccm), kaptain john komba amefariki dumua hivi punde katika hospitali ya tmj mikocheni na hivi sasa mwili wake unapelekwa katika hospitali ya rufaa ya jeshi lugalo,kwaajili ya kuifadhiwa
 
kwa kweli mi siwezi kusikitika maana alikuwa msaliti wa sisi watanzania kwenye kutunga katiba na michango yake bungeni


naomba radhi kwa nikayemkera kwa comment yangu hii
 
Alikuwa anaumwa nini? Nani sijui atawaburudisha katika kampeni zao....
 
Kifo hakichagui CCM wala Chadema, hakuna mwenye uwezo wa kukwepa kifo. Wote tupo katika safari moja. Kila nafsi itaonja mauti.
 
Pole kwa familia ya mzee wetu wa msituni. Rest in peace. Duniani tunapita
 
Ndugu watanzaniiiiiaaaaaaaa tumesikitikaaaaaaaaaaaa...kwa kifo chaa chaa mwalimuuuuuuuu
 
Haya.....!

Mkuu kweli tunatembea tukiwa wafu...!!!!

Huyu mzee juzi hapa alidai ati kama katiba mpya itatumbua uwepo wa serikali tatu "Yupo tayari kuingia msituni kupigania serikali mbili"..

Tena juzi pale Songea akawaimbia ccm wimbo wa "kuwaaga" huku Kikwete akimsifu ati haishishiwi nyimbo...!!!!! Leo ndo hivyo tena..!!!

Nadhani mstuko wa kupigwa mnada nyumba na shule alizokuwa akimiliki zimechangia mzee kuondoka mapema... Aaaaah alale anapostahili....!!!!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Sio kila mtu anaenda peponi, C.T.U, sema mola amlaze panapostahili....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom