TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Hivi ni nani atamtungia nyimbo baada ya kifo
alazwe mahali anapostahili.
ila mwaka huu tutegemee wengi tu wakifa kwa pressure
 
"Ndugu watanzaniaaa,sasa yametimiaaaa,yaliyoandikwa na mwenyezi Mungu (mwenyezi Munguu), mtetezi wa hakiii na pia wa wanyongeee, kifo kimetutenganisha na Kapteiniii...."


R.i.p Kaptein, ntakukumbuka kwa mijisongi matata
 
R.I.P John Komba
 

Attachments

  • 1425134742688.jpg
    1425134742688.jpg
    39.7 KB · Views: 1,556
Back
Top Bottom